jamani samahani kwa kudandia gari kwa mbele ila mimi natafuta number ya kitomary yule jamaa wa arusha anayeuza bata mzinga pamoja na bata bukini yeyeote aliyenayo naomba ani PM PLS.
jamani samahani kwa kudandia gari kwa mbele ila mimi natafuta number ya kitomary yule jamaa wa arusha anayeuza bata mzinga pamoja na bata bukini yeyeote aliyenayo naomba ani PM PLS.
Hapani...watenge if possible
Duh ahsante kwa angalizo mkuu ishukuriwe jamii forum,kumbe jamaa ni mtoto wa mujini...Wenzako wameshalizwa shauri zako kama hela zako hazina kazi haya
Naskia jamaa haaminiki tena na alishatembea na pesa za watu kadhaa humu ndani, labda kama issue ilishaisha aliwatimizia wateja wake sijui!