Kuku wa kinyeji na sungura

Kuku wa kinyeji na sungura

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Naomba kuuliza kwa wenye ufahamu ama uzoefu na ufugaji
Nina banda la kuku wa,kienyeji ni naowafuga kwa kisasa , swali langu ni kuwa je humo ndani naweza weka kibanda kidogo cha sungura? &

kama yawezekana kufuga pamoja kuku wa kienyeji na kwale?

Nitashukuru xana any information I will receive
 
jamani samahani kwa kudandia gari kwa mbele ila mimi natafuta number ya kitomary yule jamaa wa arusha anayeuza bata mzinga pamoja na bata bukini yeyeote aliyenayo naomba ani PM PLS.
 
jamani samahani kwa kudandia gari kwa mbele ila mimi natafuta number ya kitomary yule jamaa wa arusha anayeuza bata mzinga pamoja na bata bukini yeyeote aliyenayo naomba ani PM PLS.

Naskia jamaa haaminiki tena na alishatembea na pesa za watu kadhaa humu ndani, labda kama issue ilishaisha aliwatimizia wateja wake sijui!
 
jamani samahani kwa kudandia gari kwa mbele ila mimi natafuta number ya kitomary yule jamaa wa arusha anayeuza bata mzinga pamoja na bata bukini yeyeote aliyenayo naomba ani PM PLS.

Wenzako wameshalizwa shauri zako kama hela zako hazina kazi haya
 
Naskia jamaa haaminiki tena na alishatembea na pesa za watu kadhaa humu ndani, labda kama issue ilishaisha aliwatimizia wateja wake sijui!

ahsante sana kwa angalizo mkuu!siku zote jamii forum haimwangushi mtu na ndo mana nikaanzia humu!
 
kwa uzoefu wangu sungura hafai kuchanganywa na kuku ktk ufugaji kwasababu za kiafya, so watenganishe kabisa , kuhusu kware cjawahi fuga lkn nijuavyo kware hapendi kufungiwa so if pocble banda limbane kabisa asitoke kwani akitoka tu kimoja anarudi pori.ila wale wa dar zoo wanamaelezo zaidi namna gani wanawamaintain
 
Back
Top Bottom