Kuku wanaopikwa hotelini asilimia kubwa ni vibudu ambao huchinjwa na wanawake!

Kuku wanaopikwa hotelini asilimia kubwa ni vibudu ambao huchinjwa na wanawake!

Haoana, huyo atakuwa siyo wa Kiislam au hafati mwongozi wa Kiislam.

Mwanamke wa Kiislam kama hajaoewa ni jukumu la wazazi wake, kama hana wazazi wake, ni jukumu la kaka zake, wajomba zake, na kama hana wote hao, ni lazima atafutiwe mume Kisheria.

Uislam ni mfumo kamili wa maisha, labda usiufate kwa kukufuru kwako tu.
Nibadilishe Mimi niwe wako kabisa!
 
Back
Top Bottom