Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu wape faida kidogo kwa wana jamvi!Chakula ni kile ulichojipikia mwenyewe! Lakini chakula ulichopikiwa na mwingine hata kama ni mkeo tunakula kwa Imani tu! Kabla ya kula mshukuru Mungu kwa maneno machache then unaanza kula.
Na usisikie mapishi ya huko!
Inatisha!
Waarabu wamekuharibu akili na mamila Yao ya hovyo Sasa hivi unamwona mama yako, dada yako, bunti yako, MKE wako na shangazi zako sio binaadamu na wakichinja kitoea ni sawa sawa na shetani kachinja na hakiliki. Hovyo kabisaAsilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Anajua kibudu cha kuku tu !mzee mwenzangu bado umri huu unajadili misosi? kuku si apikwe aliwe maisha yaendelee
Haya tangulia kachukue mafuta ya upako na udongo maana wazungu wamekuletea vya maana!Waarabu wamekuharibu akili na mamila Yao ya hovyo Sasa hivi unamwona mama yako, dada yako, bunti yako, MKE wako na shangazi zako sio binaadamu na wakichinja kitoea ni sawa sawa na shetani kachinja na hakiliki. Hovyo kabisa
Wape faida vijana wajue kuna vibudu vingine zaidi ya kuku!Anajua kibudu cha kuku tu !
Mwanamke wa kiislamu anaruhusiwa kuchinjaAsilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Ni kweli ila kulikalia kimya ni kulifanya kuwa halali!mzee mwenzangu bado umri huu unajadili misosi? kuku si apikwe aliwe maisha yaendelee
Kipi ni sensitive kwa afya? Kunyonga au kupika?Kupikwa ruksa ila kumnyonga shingo!
ni kweli lakini usemayoNi kweli ila kulikalia kimya ni kulifanya kuwa halali!
Sisi waisalam mwanamke anaweza kuchinja bila shida na tukala na sio dhambiAsilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Muislam wa mchongo!Sisi waisalam mwanamke anaweza kuchinja bila shida na tukala na sio dhambi
Wakipikwa huwa hawaivi?Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Kuzaliwa na mwanamke pia ni kosa! Jitahidi ujipe ujauzito mwenyewe ili usizae kibuduAsilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Mbabe wenu ni samaki hakuna Cha mwanamke Wala Mwanaume ..... Muache ubaguzi ....Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Sisi tunaenda kula nyama wala hatuendi kujua nani kachinja.Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?