Kuku wanaopikwa hotelini asilimia kubwa ni vibudu ambao huchinjwa na wanawake!

Kuku wanaopikwa hotelini asilimia kubwa ni vibudu ambao huchinjwa na wanawake!

Wew kula nyama bana,
Kwani dhambi ngapi tunatenda,
Tunazini, tunadanganya,

Hakuna atakaechomwa moto kisa kula vibudu, tutachomwa moto kisa uzinzi, uongo, uchawi, masengenyo na dhambi ka hizo
Hatuchomwi moto kabisa. Watu wote mko salama
 
Wape faida wana!
ni darasa pana kidogo japo kwa ufupi kuna njia ya kuwa piga kichwani wazirai hii hutumika kwenye maeneo ya uchinjaji wa namba kubwa ya wanyama au ndege,njia ya kitamaduni kwa hapa kwetu wamasai hutumia kwa kuwatoboa wanyama hata kule uchagani hutengeneza ndafu kwa njia hiyo, kisha kuna njia ya kiislamu hii hufuata muongozo wa dini ya kislamu
 
Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.

Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Basi msile mahotelini tuone
 
Umeeleza vyema ila kidogo ni wa maria kuwa ndio mkamata kisu!
 
Kuna muda najiskia fahari kuwa kama nilivyo kwani sipangiwi na mtu cha kufanya kisa imani huwa naamini katika mizimu ya kwetu tu.
Kwangu bia ruksa, kitimoto twende kazi huku nasukuma na castle lite kidg, kambale nagonga na malaya akipita naruka naye mara moja moja maisha ndio haya haya.
Afu nmekuja kugundua masikini ndio wameshika imani kuliko kawaida yupo radhi akutoe ngeo ili tu kulinda imani yake
Umegundua hicho kitu upo sahihi mafukara wa mitandaoni hupenda kujifaharisha!
 
Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.

Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
bora hata wamechinjwa na hao wanawake,wanaume tuko bize
 
Kuna watu hawana dini ila sio mashoga

Mi naona wewe kiwango chako cha akili hakiendani na falsafa yangu.

Maisha mema,

Subiria imam akuambie ukajiripue kanisani ili ukienda kuzimu upate mabikra 72
Miskiti mingapi hapo ulipo watu wamejilipua kwa kutumwa na imamu!
 
Back
Top Bottom