kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #21
Kupikwa ruksa ila kumnyonga shingo!Je, ni halali kuku kupikwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyotuelekeza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupikwa ruksa ila kumnyonga shingo!Je, ni halali kuku kupikwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyotuelekeza?
Unataka kusema wakristo wamehalalishiwa kula vibudu na mizoga!Wote tunajua ni kina nani wana sheria za kuchinja,
Kuna mkristo anaehangaika na kama nyama imechinjwa na mwanamke au mwanaume? Au sijui alinyongwa au vipi ? Tuwe wa wazi tu ndugu
Daaah aisee tuna safari ndefu bado kufika .Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Haruhusiwi!Mwanamke wa kiislam anaruhusiwa kuchinja
Wakristo wanajua kimtiacho mtu unajisi ni kimtokacho ila sio kimuingiachoUnataka kusema wakristo wamehalalishiwa kula vibudu na mizoga!
Who cares? Akichinja inakuwa na sumu au inaoza? We kula nyama kiongozi, haya mengine ni human construction tu hayabadilishi lolote kwenye mboga. Kuleni kuku ni cheap proteins mwili unazihitaji sana. Fikiria nchi ikifikiwa watu milioni 100 nani atachinja kaka?, ni mashine tu na hazijui kibla wala dua za kufikirika. Saudia wenyewe wanachinja kwa mashine kulisha watalii (mahujaji) msimu wao wa high season (kuhiji)Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Mbna mm dem wangu alikuwa anachinja kukuHaruhusiwi!
Usichunguze sana mkuu utakuja kuumia moyo siku kwa tabia za kuchunguza na kuleta imani Kila sehemuAsilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Wafia dini wengi wanakula haramu (kitimoto) natupo nao humu vijiweni. Itoshe kusema pia kwenye sikukuu za makafiri wakialikwa wanakula nyama za kuku kwa kubugia bila kuuliza ni nani amechinja. Sasa watawezaje kunyoosha vidole kwenye kula kibudu?Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Na bado hata kitimoto watakula tu....mwaka wa kufosi,, ngoja nimwambie dada Grace pale kwenye mapande ya nyama ya ng'ombe aongezee na finyango kadhaa za kitimoto zi dilute kwenye mchuziAsilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Ulifanya uchafu mwingi ikiwa ni pamoja na kuiba fedha pale DARUSO leo ndio unakumbuka maandiko!Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Kibudu siyo kuku au mnyama yoyote aliye chinjwa na mwanamke au asiye muislamu ...kibudu ni kuku au mnyama yeyote anayeliwa aliye kufa kabla ya kuchinjwaAsilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Jomba unafeli kutofautisha Dini na Mungu.Kwa kujiona wajanja ndio maana leo hii watu wa jinsia moja wanaona ndugu wa damu wanatafunana kwa kuwa tu kufuata dini ni ushamba!
Kuna watu hawana dini ila sio mashogaKwa kujiona wajanja ndio maana leo hii watu wa jinsia moja wanaona ndugu wa damu wanatafunana kwa kuwa tu kufuata dini ni ushamba!
Mmili wa Hotel hamlazimishi mtu kwenda kula chakula kilichoandaliwa pale.Vipi tuache maandiko yanavyoelekeza na kuamrisha watu wasile vibudu!