kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
-
- #101
Sawa!Sisi tunaenda kula nyama wala hatuendi kujua nani kachinja.
Nibadilishe Mimi niwe wako kabisa!Haoana, huyo atakuwa siyo wa Kiislam au hafati mwongozi wa Kiislam.
Mwanamke wa Kiislam kama hajaoewa ni jukumu la wazazi wake, kama hana wazazi wake, ni jukumu la kaka zake, wajomba zake, na kama hana wote hao, ni lazima atafutiwe mume Kisheria.
Uislam ni mfumo kamili wa maisha, labda usiufate kwa kukufuru kwako tu.
Nibadilishe Mimi niwe wako kabisa!
Sio msukule ni mtu aliyehai! Utapata thawabu huko tuendako!Kiislam siruhusiwi kuweka misukule.
Ni ulafi tuu wenu wanadamu,tunapaswa kula mbogamboga na matunda pamoja na nafaka.Ndio maana mnatoka vitambi hadi wanawake!Hakuna aliyeidhinishwa kuliwa?
Kiislam hata umauti ni haki pia.
Kiislam siruhusiwi kuweka misukule.Sio msukule ni mtu aliyehai! Utapata thawabu huko tuendako!
Nipm uone kama ni msukule,umeshushiwa Neema unaikataa,shauri Yako!πππKiislam siruhusiwi kuweka misukule.
Kiislam siruhusiwi kuweka misukule.Nipm uone kama ni msukule,umeshushiwa Neema unaikataa,shauri Yako!πππ
Unakomaa na misukule!sm Wana kazi!Kiislam siruhusiwi kuweka misukule.