RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Ndio nimeanza kuwapa Leo.Egg booster umetumia
DCPNdio nimeanza kuwapa Leo.
Mkuu uuze layers ambao washatumia zaidi ya mil 16, utawauzaje Ili upate faida kuku wa miezi minne na nusu?.Mi ningeshapaniki ningewauza kwa wauza chips
Naamini hivyo pia lkn nashindwa kuelewa tumefeli wapi.Watataga tu
Hapana wanatetea lkn hawajataga. Nilichanganyiwa jogoo mmoja na nimeshamla.Angalia kama Sio majogoo!
Kiukweli nilifikiri ni ule ufugaji wa 1M - 3MMkuu uuze layers ambao washatumia zaidi ya mil 16, utawauzaje Ili upate faida kuku wa miezi minne na nusu?.
Mimi na muwakilisha wa Silverland tulichukua randomly sample ijumapili iliyopita tulikuta Wana 1.47kg,1.5Kg, 1.57kg, kwa ujumla tuliepata uzito mdogo ilikua 1.38kg, mwenye uzito mkubwa ilikua 1.6Kg.Wanakilo ngapi?
Wako wangapi?
Unalisha kilo ngapi kwa siku?
Niliwachukua Silverland, tatizo Kuna kuku maalumu wazazi ndio wazurii kwa kutotolesha mayai yao. Na hawauzi madume wanauza majike tu.Kiukweli nilifikiri ni ule ufugaji wa 1M - 3M
16M ni uwekezaji mkubwa kwa kuku I think waliokuuzia vifaranga watakua na wataalamu wanaoweza kujibu haya maswali.
Pia zile mashine za kutotolesha hazifit kwenye bajeti ya 16M?
Ila biashara ikigoma utashangaa unauza kwa hasara.Mkuu uuze layers ambao washatumia zaidi ya mil 16, utawauzaje Ili upate faida kuku wa miezi minne na nusu?.
Digestive cruide protein kwenye chakula Cha Silverland hawashauri uongezee wanasema ipo tayari, hata kuwakata midomo week ya 15/16 walinikatalia.
Kuku huanza kutaga kati ya week ya 20 -24. Kuwahi kutaga sio dalili nzuri, kwani ni lazima via vyake vya uzazi vikomar kumuwezesha kutaga. Ambapo umri sahihi ni wiki ya 20-24Na kuku wangu wa mayai zaidi ya 1000 wanaenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.
Bado naamini watataga lakini na stress kwa nini hawatagi.Ila biashara ikigoma utashangaa unauza kwa hasara.
Ndiyo maana ya kulima na mvua ikagoma kushusha hapo!.