Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
wiki ya 19 mbona muda wao bado mkuu au?Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.