Sasa mkuu unajuaje kama sio chanzo cha pili au cha tatu Cha mapato?. Unaweza ukafuga kuku 1000, ukiwa huna chanzo cha kwanza cha mapato?. Utatoa wapi sasa pesa yakuendeshea mradi ?.
Halafu unapozungumzia makampuni binafsi, unajuaje malengo yangu hapo baadae ni yapi?. Tuache kukatishana tamaa, kama naweza tupa/wekeza zaidi ya mil 30 kwenye kuku basi tambua namalengo mengi hawa kuku 1000 sio kwanza kuanza kufuga, nilianza na sasso wa nyama ambao walikua zaidi ya 300 na niliwafuga kama sehemu yakujifunza kwa vitendo. Baadae ndio nikachukua Hawa 1000.
Tusikatishane tamaa.