RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
- Thread starter
- #81
Washapata chanjo zote muhimu, kuugua sio rahisi, labda wataugua magonjwa ambayo yanatibika.Duh
.. Biashara ya kuku sawa na kubet
Hapo una ombea Mungu wasiugue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washapata chanjo zote muhimu, kuugua sio rahisi, labda wataugua magonjwa ambayo yanatibika.Duh
.. Biashara ya kuku sawa na kubet
Hapo una ombea Mungu wasiugue
Usifuate yale makaratasi ya motivational speakers, naongea kama animal production scientist. Kwa umri huo angalau ungekuwa umeshaanza kuokota mayai kidogo kidogo. Chakula cha layers hakifanani na cha broilers kiasi kwamba kitawanenepesha. Wape chakula cha kutosha kuandaa mwili kwa ajili ya production.Week ya 18 nachanganya grower na layers, week 19 ndio ntaanza kuwapa layer mash tupu,kuku hapewi chakula kulingana na umri tu pia uzito nijambo la msingi. Na hawa layers ukiwapa chakula kingi zaidi ya mahitaji yao wakinenepa sana hawatagi. Uzito walionao nisawa kabisa na umri wao.
Kwa nini waugue? Mifugo nao ni sawa tu na binadamu!Duh
.. Biashara ya kuku sawa na kubet
Hapo una ombea Mungu wasiugue
Stress 😬Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16, lakini kutaga hawataki.
Msaada tutani wakuu.Ufugaji si mwepesi.
Sawa.Kuku wana stress yawezekana housekeeping yako ni mbovu.
Waite madaktari wa kuku wakupe msamiati wenye mashiko.
Kwa kuku 1000 ni sawa sawa kabisaaa tena umejitahidii sanaa mnoo.....mimi nilifila 19m miezi 6 wakaanza kutagaMimi na muwakilisha wa Silverland tulichukua randomly sample ijumapili iliyopita tulikuta Wana 1.47kg,1.5Kg, 1.57kg, kwa ujumla tuliepata uzito mdogo ilikua 1.38kg, mwenye uzito mkubwa ilikua 1.6Kg.
Wako 1000, ingawa nilinunua elfu 1. Sawa na box 10, kwa Kila box wanasema walioongeza mmoja mpaka wawili, na walikufa 11. Napia walinichanganyia jogoo mmoja. Kwahio Huwa na assume wako buku tu.
Week hii ya 18, nawalisha kg 88 kwa siku.
Ngoja tuendelee kupambana naamini watataga maana wote wanaonyesha dallili za kutaga ngoja niwe mvumilivu mpaka week ya 22/24 nione.Kwa kuku 1000 ni sawa sawa kabisaaa tena umejitahidii sanaa mnoo.....mimi nilifila 19m miezi 6 wakaanza kutaga
sawasawa kazana wakianza kutaga uwe unakijana wakukusanya mayai haraka kila saa uko bandani kisha funga cage nenda sido kuna watalamu wanajua kuchomelea vizuri cage wanaweza kukundia cade imara kabisa na za kisasaVyombo vya chakula baadhi vilikuwa vimetolewa nje kwa ajili ya kufanyia usafi, na drinkers zisizopungua 80 na feeders zaidi ya 100.
Mkuu ndio napambana pia nguvu sina yakutosha, nilitaka Mwenyezimungu akijalia kuanzia January nianze nunua cage, sema uchumi mgumu Dokta, tunafuga kwa kutegemea mshahara.
Kuku wanagomàje mzeya?Naamini hivyo pia lkn nashindwa kuelewa tumefeli wapi.
Sawa mkuu.Kwanza ongeza, jambo la kwanza ongeza chakula kwa kuku maana wiki ya 18 wanatakiwa kula gm 85, 90,95, hivyo alafu wape vitamini hasa zile nzuri za maji .
Jambo jingine jitahidi kuanzia sasa ratiba ya chakula iwe saa 12 kamili asubuhi usharika kila kitu bandani maji na chakula kwa 70 au 60 % then 30 au 40% wapewe jioni iwe ratiba. Kama uwezi kuamka saa 11 sahau biashara ya kuku wa mayai maana inabidi uwatrain hivyo ili kupata matokeo mazuri .kuhusu chakula kama una mtaalamu unaweza tengeneza cha kwako ili kucut cost
Laki kwa week labda wawe wanakula pumba tupu, mfuko tu mmoja wa layers ni elfu 59. Kuku elfu 1 wanakula zaidi ya mifuko 21 kwa mwezi. Kwahio hapo nizaidi ya laki 3 kwa week.Wauzaji wavifaranga utasikia, Hawa wataanza kutaga miezi mitatu na nusu!! Hao wanamsababishia mfugaji presha na ushirikina,
Ila bajeti ya kuku wakifikisha miezi minne ni hatari, kwa hao kuku 1000, ka laki kanaweza kupotea kwa wiki
consider underfeeding kama sababuMimi na muwakilisha wa Silverland tulichukua randomly sample ijumapili iliyopita tulikuta Wana 1.47kg,1.5Kg, 1.57kg, kwa ujumla tuliepata uzito mdogo ilikua 1.38kg, mwenye uzito mkubwa ilikua 1.6Kg.
Wako 1000, ingawa nilinunua elfu 1. Sawa na box 10, kwa Kila box wanasema walioongeza mmoja mpaka wawili, na walikufa 11. Napia walinichanganyia jogoo mmoja. Kwahio Huwa na assume wako buku tu.
Week hii ya 18, nawalisha kg 88 kwa siku.
Juzi nimeokota yai la kwanza, Jana nimeokota manne.consider underfeeding kama sababu
kwa kawaida, kuku wa umri huo wanakula 110gm - 115gm kwa siku sawa na kilo 115 kwa kiwango cha chini tena maeneo ya joto kama daresalaaam
pia angalia kiasi cha mwanga unacho wapatia, kipindi cha wiki ya 16,17,18 tunashauri kuongeza mwanga kwa kuku kutoka masaa 12 mpaka masaa 16, hivyo unatakiwa uwe unazima taa saa4 usiku, lkn unatakiwa uwe unaongeza taratibu taratibu.
Kama utataka maongezi zaidi njoo pm, tubadirishane mawazo
Juzi nimeokota yai Moja la kwanza, Jana nimeokota manne. Hii ni week ya 19.sawasawa kazana wakianza kutaga uwe unakijana wakukusanya mayai haraka kila saa uko bandani kisha funga cage nenda sido kuna watalamu wanajua kuchomelea vizuri cage wanaweza kukundia cade imara kabisa na za kisasa
Mkuu ukifuga utajua wanagoma vipi.Kuku wanagomàje mzeya?
Nawaangalia kuku kwa uangalizi wa hali ya juu sana.Kuku wana stress yawezekana housekeeping yako ni mbovu.
Waite madaktari wa kuku wakupe msamiati wenye mashiko.
May be kwenye checklist yako kuna jambo halipo sawa,otherwise wape daktari wa kuku wakupe msaada.Nawaangalia kuku kwa uangalizi wa hali ya juu sana.