M.COLLINS
Member
- Jan 15, 2013
- 18
- 7
Wakuu mimi kuku wangu wanakohoa na ukiwasikiliza ni kama wanakoroma umri ni wa Mbezi miwili na vifaranga wa week moja na siku 6.
Hii issue imedumu kiasi maana niliwapa Fluban siku 5 ikawa bado nilipata kifo kimoja kwa (Watoto), siku 3 mbele nimewaanzishia dose nyingine ya TYDOX EXTRA Wakubwa wametulia ila wadogo (hawa wa one week) bado hali ni ile ile.
Naombeni msaada wenu wadau!