The_vision
Member
- Feb 9, 2022
- 17
- 63
Wafugaji wenzangu naombeni dawa,kuku wangu wamekua wanakohoa sana kama Harmonize ( khoo! Khooooh! Yaaaaw yaaaaaaw! Jeshiiiiiii ) na kusinzia sinzia kama mateja, naombeni dawa gani nitumie ili wapone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heading na contents havifanani.Wafugaji wenzangu naombeni dawa,kuku wangu wamekua wanakohoa sana na kusinzia sinzia kama mateja, naombeni dawa gani nitumie ili wapone
Yani hiyo heading imenichekesha sana😂😂😂😂haupo serious mkuu
Kila nyimbo inavyoanza lazima akohoeHeading na contents havifanani.
Harmonize anakohoaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119] sikutarajia kama nitacheka usiku huu [emoji3][emoji3] daahWawekee biti mtoe hit song mkuu.
😀😀😀😀😀Khoooo! khoo! khooo!
Yaaaw! yaaaaaw!
Hahahahhahahaha
Jeeeshii iiiiiiii
Koondeeee boyiii
I'm your teacher, teacher konde😀😀😀😀😀
Manendaniwa..Khoooo! khoo! khooo!
Yaaaw! yaaaaaw!
Hahahahhahahaha
Jeeeshii iiiiiiii
Koondeeee boyiii
Wafugaji wenzangu naombeni dawa,kuku wangu wamekua wanakohoa sana na kusinzia sinzia kama mateja, naombeni dawa gani nitumie ili wapone