Kuku wangu wanakohoa, naombeni dawa

Kuku wangu wanakohoa, naombeni dawa

ukikosa mbinu zote fanya hivi.


chemsha maji ya moto wakate vichwa watumbukize ndani ya hayo maji, then wanyonyoe manyoya, utaamua ww uwapike soup, lost ama ubanike.


mbinu za msingi zaidi tusubiri wadau watakuja kutupa..
 
Wafugaji wenzangu naombeni dawa,kuku wangu wamekua wanakohoa sana na kusinzia sinzia kama mateja, naombeni dawa gani nitumie ili wapone
Heading na contents havifanani.

Harmonize anakohoaje?
 
Haaa 😂, Jamanii

Muite diamond aje hapo ndo watapona
 
Hii ndo akili ya Watanzania walio wengi[emoji12][emoji12]
JamiiForums690451828.jpg


Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom