Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 143
- 213
Wadau habari za mida,
Nimekuwa nafuatilia sana kuhusu elimu ya uwekezaji kwa muda sasa kuhusu stock au hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji ya pamojai ila sasa naomba niongelee hisa haswa za CRDB Bank, NMB NICOL, TCC na DSE zenyewe.
Hii kasi ya upandaji wa soko la hisa zikiwepo hizo nilizozitaja hapo juu ndio inawapa watu hamasa hadi kununua hisa kwa kasi sana hadi kupeleka application ya DSE kiganjani kusumbua na mabroker kutokupoea simu.
Swali langu wadau ni hili ni kwamba elimu ya hisa watu wameipata sasa hivi au wameona nini kwenye uwekezaji na kwa anayejua ni nini chakuangalia kabla ya kuwekeza kwenye hisa naomba maoni yenu tafazali