Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 143
- 213
View attachment 3557010
Msaada wakuu, ivi hii suspended inamaanisha nini na pesa yangu ambayo imekatwa baada ya kununua itakuwaje?
Kiweku hapa kama hutojaliUkuaji wa teknolojia ya mawasiliano ( social media) umefanya elimu ya hisa kuenea kwa wingi na influencers kuhamasisha watu kununua hisa wapo wengi kwa hiyo watu wanahamasishwa. Pia uwepo wa app unarahisisha ununuaji wa hisa ukiwa popote pale ndio maana wanunuaji ni wengi tofauti na zamani hisa zinanunuliwa kwa makaratasi. Kuhusu app kusumbua, hilo ni kosa la DSE, app haitakiwi kugoma kisa watumiaji wengi. Kuna app hapa duniani zina watumiaji mabilioni mbona hazisumbui? DSE warekebishe app ,huwa inasumbua sana na hakuna sababu yoyote ya kuhalalisha app ya DSE kugomagoma.
Kuhusu vitiu vya kuzingatia kabla ya kununua hisa ningekushauri tafuta kitabu cha The Intelligent Investor,kinapatikana kwenye website ya Pdfdrive bure bila malipo. Hicho kitabu ni elimu tosha kuhusu uwekezaji wa hisa .
Fanya amendment ya order yako ,bei imepanda Kufikia Leo hivo ,badili beiView attachment 3557010
Msaada wakuu, ivi hii suspended inamaanisha nini na pesa yangu ambayo imekatwa baada ya kununua itakuwaje?
kwasasa siwezi ku amend maana order iko suspendedFanya amendment ya order yako ,bei imepanda Kufikia Leo hivo ,badili bei
Sawa wasiliana na broker wako kwa Msaada zaidi...Ila ukigusa hio option ya action haina sehemu ya kuammendkwasasa siwezi ku amend maana order iko suspended
Kiweke basi hapa kama mdau alivyosema halafu nyuzi kama hizi kwanini wachangiaji uwa ni wachache sana watu tunataka mawazo mbalimbaliUkuaji wa teknolojia ya mawasiliano ( social media) umefanya elimu ya hisa kuenea kwa wingi na influencers kuhamasisha watu kununua hisa wapo wengi kwa hiyo watu wanahamasishwa. Pia uwepo wa app unarahisisha ununuaji wa hisa ukiwa popote pale ndio maana wanunuaji ni wengi tofauti na zamani hisa zinanunuliwa kwa makaratasi. Kuhusu app kusumbua, hilo ni kosa la DSE, app haitakiwi kugoma kisa watumiaji wengi. Kuna app hapa duniani zina watumiaji mabilioni mbona hazisumbui? DSE warekebishe app ,huwa inasumbua sana na hakuna sababu yoyote ya kuhalalisha app ya DSE kugomagoma.
Kuhusu vitiu vya kuzingatia kabla ya kununua hisa ningekushauri tafuta kitabu cha The Intelligent Investor,kinapatikana kwenye website ya Pdfdrive bure bila malipo. Hicho kitabu ni elimu tosha kuhusu uwekezaji wa hisa .