M2WAWA2
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 3,285
- 5,598
Muziki una ushawishi mkubwa Duniani kisiasa (wakati wa kampeni na ziara ),kiuchumi na kijamii.
• Takwimu zinaonyesha kwa wastani mtu mmoja ana tumia masaa 961 kusikiliza muziki kwa mwaka.
• 66% ya wasilizaji wa nyimbo hizi ni vijana kuanzia miaka 18 na 34+
• Pia takwimu zinaonyesha Ma teenager wana tumia masaa mawili kila siku kusikilza muziki.
• Na 90% ya watu duniani wanasikiliza muziki kwa mujibu wa Nielsen Music 36.
• Hivyo muziki ni industry/chama kubwa duniani,kuliko fani ya mpira wa miguu. Unaweza sikiliza na kucheza muziki wakati wowote, popote, muda wowote na yeyote sio kama mpira.
• Platform kama soptify wana jumla ya nyimbo 80 million, Apple wao wana jumla ya nyimbo 82 million, walizozisajili.
Faida za muziki ni pamoja na kuhamsha homoni za furaha (Dopamine), za kukufanya ujisikie vizuri, furaha na raha. Muziki pia husaidia kupunguza stresi na maumivu (endorphins ) na kukusaidia kuwaza au kufikiria vizuri.Kwa ujumla muziki husaidia kufungua fahamu na kujisikia vizuri.Muziki ni bora kwa afya kuliko mpira.
Lakini hii industry ina hasara kubwa kwa kuwa chanzo kikubwa cha kuhamsha na kuhamasisha ushoga kwenye jamii zetu. Mapenzi ya jinsia moja kwa Africa bado hayajakubalika, mpaka kufikia mwaka 2021,ni nchi moja iliyohalilisha mapenzi ya jinsia moja. Ila huko tunako kwenda hali itakuwa mbaya kuliko sasa.
Kwa kushirikiana na mashoga kwenye majukwaa yenu ya muziki na sherehe zenu mbalimbali ni kupandikiza mbegu na kuwaaminisha watu kuwa ushoga ni sehemu ya maisha ni utamaduni wa kawaida kama tamaduni zingine, ni ukisasa, ni kwenda na wakati,ni njia ya SHORTCUT ya kuwa maarufu.
Kwamba kupitia muziki wenu mnarahisisha zoezi la hawa watu kutambulika na hivyo kukubalika kirahisi kijamii na kisheria!! Pengine Bunge la mwaka 2035 likaja pitisha sheria za uhalali wa n
doa za jinsia moja, kwani tayari huko mmejipenyeza.
kwa ukubwa wa kundi lenu la Muziki,lenye media, wasanii wengi, manajementi ya wazoefu wa muziki, na rasilmali za kutosha.Hamuoni kama hili la ushirika wenu na mashoga ni tatizo kwa taifa?Je ninyi sio wazazi?.Je mna agenda gani? Je ni masharti ya chama?