Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Kwani dini gani inaongoza kwa ushoga hapa Tz??Mtoto wa KIISLAM anavyo WHINE Jeje bughzu Jeje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani dini gani inaongoza kwa ushoga hapa Tz??Mtoto wa KIISLAM anavyo WHINE Jeje bughzu Jeje
Daa![emoji849][emoji849][emoji849]Tanzania ushoga ulikuwepo tangu enzi za ukoloni. Ulizia asili ya mziki wa mnanda. Huu muziki zamani ulikuwa unaitwa chakacha, sema sasa hivi wameongeza mirindimo na vionjo vingi vya wazaramo. Lakini enzi hizo chakacha ulikuwa mziki wa wasenge japo ulikuwa na mashabiki tofauti. Kwenye chakacha mashoga walikuwa wanatandika mkeka wanakatika hadharani na hakuna mtu aliyewasumbua. Zamani hakuna mtu ambae alikuwa anawapa hawa watu attention, ukiwa choko kimpango wako. Mimi kila siku nasema, songombingo zote zimeletwa na hawa watu wa Magharibi. Wanadai mashoga wapewe haki zao, sasa haki gani? Au serikali iwaongeze mikundu mingine kila shoga awe nayo mwilini?
Hatari....sanaTanzania mashoga ni wengi hadi vijijini. Ni kwamba serikali iko kimya ila yanatokea sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema Ushoga Uendeleee.
Vipi unateseka ukiwa wapi?? Woiiiiiiiiiiih
Hahahaha hahahahaNilienda kwenye msiba kinondoni ilivyofika jioni nikaona niende nikashtue kilaji ili nilale vyema msibani
Baa nilio kwenda nikakuta kuna shoga limekaa na mademu
Sasa na ushamba wangu ikawa namahangaa kwa kumuangalia sana jinsi anavyokata mauno na swaga za kike
Kumbe ananiona ninavyo muangalia akajua nimempenda namtaka
Dakika sifuri kamtuma muhudumu aje kuchukua hela nimnunulie Heineken akampa na namba eti nimtext
Ikabidi nigeuke kumuangalia akanikonyeza na kujibetua kama demu
Aisee sikumjibu hata yule muhudumu niliinuka nikatoka nje mbio kuelekea msibani