Uchaguzi 2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

Wanabodi,

Naomba kutoa hongera sana in advance kwa CCM kwa ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu ujao wa rais, wabunge na madiwani hapo mwakani 2020, ila pia naomba kusisitiza, kwa vile CCM itashinda ushindi wa kishindo kutokana na kukubalika sana kwa CCM, sasa imekubalika sana kwa Watanzania wote kufuatia kazi nzuri ya rais
Magufuli, anayoifanya, imekubalika, na rais Magufuli amekubalika sana, Rais Magufuli, serikali, CCM na viongozi wote tutende haki, ushindi huu uwe wa haki, tusifanye figisu kama za uchaguzi wa serikali za mitaa. Uchaguzi wa 2020 CCM ikishinda kwa figisu, karma itaingilia kati hivyo kuja ku counter check furaha ya ushindi huo!.

Hongera sana Watanzania kuikubali CCM,
Kumkubali JPM
Viva African Democracy
Viva Tanzanian Democracy

Paskali
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...

Kwani 2020 kulikuwa na uchaguzi?
Uchaguzi wa 2020 mbona mimi niliisha uzungumza vizuri kabisa hapa, ama unataka nirudie kuongea?.

 P
 
Back
Top Bottom