Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
FactIla mama wakwe ni lazima mkubari mtoto akishakuwa anatakiwa awe na maisha yake.
Tatizo kubwa lililopo mmeishi maisha yenu na bado mnataka kuishi na maisha ya watoto, hili siyo sawa.
Ndio sababu ugomvi uliopo ni kati ya wake na mama wakwe zao ingawa si wote.
Huwezi kusikia kuna ugomvi na Baba mkwe ni lazima mjiulize hili vizuri, ndio sababu wakwe zenu wanawaombea kifo ili waishi kwa amani bila gubu la mama mkwe.