Kukutana na mama mkwe mtarajiwa ni dalili ya hatua nyingine kwenye mahusiano yenu

Fact
 
Haya mambo ni magumu sana, unakuta mama mkwe mwingine anamponda mwanaye wa kumzaa kwa mkewe, kwamba huyu hana akili na a lot of blabla, sasa utajiuliza motive behind ni nini?
Tabia ya hovyo sana hii
 
Mama wakwe acheni gubu zenu, waache wanao na wakweo wa enjoy life. Kiruuuuuuuh.
 
Asante kwa ushauri, mimi hata mama mkwe akijilahisisha namtafuna tu ili heshima itawale. Nakula kuku na mayai yake
Kumbe hili jamaa jinga Kia's hiki

Kumbuka kuwa mama ako ndio mam mkwe wangu Sasa nije nimtafune mama ako na dada ako kweli kbsa mpwayungu uko serious
 
Mm mam angu alivyosikia mwanamke nataka kumuoa alimkatah hadharani Wal hakupepesa macho alisema wasws kuwa nikioa asinione Happ na yule bint

Ni kweli yule mwanamke alikuwa balaha la karne
 
Achana na ushauri huu wewe kama unapiga bia kama unavuta shisha wala usi fake piga bia zingine weka kwenye mkoba ukienda ukwen baada ya chakula toa bia weka mezani piga bia dada
 
Hehheheh labla sio kwa mama wakwe wa saivi
Ni wa michongo kuliko mchongo wenyewe[emoji38]
 
Wala msiu.kze vjchwa warembo soon haya mambo ya mama mkwe hayatakuwepo. Tumedhamiria kuhakikisha kauli mbiu yetu ya hakuna kuoa inatekelezwa ipasavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…