Shomary47
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 233
- 359
Una uzoefu na biashara ipi, Ama una experience ipi kwenye biashara?Embu mwenye kawazo kazuri cha biashara ya mtaji w 1.5milion anisaidie .. nimewaza tangu mwezi wa9 mpaka sasa mtaji umepungua kwenye kula, kutoka 2milion mpaka sasa nina 1.5m
Sasa nasoma comment watu wanasema inabidi mtu uwe na milion 10 ndio uanze biashara kochwa kina zidi niuma.
ila.uzi huu naona kama kuna shughuda za mitaji midogo.. nipeni wazo la kuwa na kaframe napenda sana biashar yenye adress.. elimu ya ngu ni degree, umri 30. niko dar tegeta.
asanten sana