Una uzoefu na biashara ipi, Ama una experience ipi kwenye biashara?Embu mwenye kawazo kazuri cha biashara ya mtaji w 1.5milion anisaidie .. nimewaza tangu mwezi wa9 mpaka sasa mtaji umepungua kwenye kula, kutoka 2milion mpaka sasa nina 1.5m
Sasa nasoma comment watu wanasema inabidi mtu uwe na milion 10 ndio uanze biashara kochwa kina zidi niuma.
ila.uzi huu naona kama kuna shughuda za mitaji midogo.. nipeni wazo la kuwa na kaframe napenda sana biashar yenye adress.. elimu ya ngu ni degree, umri 30. niko dar tegeta.
asanten sana
Najua stationary and supplies.. ila sasa hata jinsi ya kupata huo mtaji wakuifanya ndio shughuli.. ndio maana najiwazia niaze na biashara yoyote ile nikifikisha milion7 ndio nifanye stationary and office suppliesUna uzoefu na biashara ipi, Ama una experience ipi kwenye biashara?
Mtaji si umesema una 1.5M ama ni pesa ndogo? Wewe unataka mtaji wa shingapi uanze hiyo biashara ya seteshenariNajua stationary and supplies.. ila sasa hata jinsi ya kupata huo mtaji wakuifanya ndio shughuli.. ndio maana najiwazia niaze na biashara yoyote ile nikifikisha milion7 ndio nifanye stationary and office supplies
jibu lipo hapo kwenye maelezoMtaji si umesema una 1.5M ama ni pesa ndogo? Wewe unataka mtaji wa shingapi uanze hiyo biashara ya seteshenari
Njoo nikuuzie dubuEmbu mwenye kawazo kazuri cha biashara ya mtaji w 1.5milion anisaidie .. nimewaza tangu mwezi wa9 mpaka sasa mtaji umepungua kwenye kula, kutoka 2milion mpaka sasa nina 1.5m
Sasa nasoma comment watu wanasema inabidi mtu uwe na milion 10 ndio uanze biashara kochwa kina zidi niuma.
ila.uzi huu naona kama kuna shughuda za mitaji midogo.. nipeni wazo la kuwa na kaframe napenda sana biashar yenye adress.. elimu ya ngu ni degree, umri 30. niko dar tegeta.
asanten sana
Ela ndefu sana hiyo, Changamka shule zinafunguliwa January zungusha hiyo ela kwenye mahitaji ya shule ie..Sare za shule kama mashati ya tomato, sweta,soksi,school bag nk...mpaka inapofikia mwezi February, hiyo ela itakuwa iko karibu M3.Embu mwenye kawazo kazuri cha biashara ya mtaji w 1.5milion anisaidie .. nimewaza tangu mwezi wa9 mpaka sasa mtaji umepungua kwenye kula, kutoka 2milion mpaka sasa nina 1.5m
Sasa nasoma comment watu wanasema inabidi mtu uwe na milion 10 ndio uanze biashara kochwa kina zidi niuma.
ila.uzi huu naona kama kuna shughuda za mitaji midogo.. nipeni wazo la kuwa na kaframe napenda sana biashar yenye adress.. elimu ya ngu ni degree, umri 30. niko dar tegeta.
asanten sana
Bos wangu samahani nakuomba unitafute kwenye namba hii 0672553597Mimi nafanya biashara hiyo nilianza na mtaji mdg saana kama laki 3, Kwa sasa nina kijiofisi changu alhamdullah, Kamtaji kanakua kdg kdg. Japo naendelea kujifunza zaidi jinsi ya kutunza fedha za faida ili mtaji ukue.View attachment 2437572