Sura-ya-Kwanza
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 568
- 12
- Thread starter
-
- #41
Kuhani mmoja wa kitongoji kimoja wa JF Ville adai Mcheza sinema maarufu mmoja wa JF Follywood anajikanganya na vinukta!π
Naye ajibu kishrekishreki "unachukua kitu kizima kizima ....na kumeza" "don't just jump onto my "nuktas",π‘ alihamaki
Mkuu wa uwanja wa Vita naye arudisha kombora-na kurusha maneno haya "Mkuu usidhani kwamba kwa kurusha maneno yako kama haya kwamba unajiweka mbali na upumbavukali "
Mwandishi wetu alibaini maneno yaliyorushwa kama ifuatavyo, kwa vinukta nukta hapa..."toka utotoni wakati tunafundishwa kutamka A E I O U" "...ni hoodwinking, brainwashing, upumbazwaji"
"Ni tyranny ya Serikali" alihamaki na ni pale mwandishi alipogundua hii ni sababu kuhani huyo kutojifunza shuleniπ
"...Ni kutufanya wagonjwa wa vichwa. Sitaki!!!!" aliongeza kuhani huyo.
Mama mmoja wa huko JF Ville naye adai matusi ni mengi-siyo mifano ya utamu!
"matusi ya nini"π± aliuliza kwa mshangao
Mzee moja wa JF Ville Vijijni alijaribu kutetea, fuata nukta hapo chiniπ
Mdahalo waendelea... hapa
Rununu ya mwandishi imemfanya mwandishi wetu kutoka faragha!
Jinabi laonekana JF VIlle
Adai, hakuna wa kumtetea ndani ya Chama chenye Utawala Danganyika Ville!
Sasa aomba 'Mchango'
Mwandishi wetu amepelekwa huko, kugandia na kuperuzi michango iliyotolewa huko.
Je ni kweli Mkuu wa Uwanja wa Vita JF Ville amepotea?
Soma humu humu umtafute kwa kwa njia zote za ujasusi utampata!
Naenda kunywa supus nitarudi kuwapa nini mwandishi wetu ametuletea.
KULA BREKI!!!