Sura-ya-Kwanza
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 568
- 12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari mbofu mbofu.....
Sasa dukuduku liemekuwa gumzo.Baada ya kutoa dukuduku ya Uwezekano wa JF kugeuzwa kuwa chama cha siasa, mitafaruku yaanza kuonekana katika baadhi ya wana JF hao. Baadhi ya wakereketwa wamesikika wakisema wanajitoa mhanga kwa kile kinachosemekana kuwa wana JF kadhaa walikuwa hawana imani na HE.J.K.... kwa hivyo basi wanarudi kwenye chama tawala
Mmoja wao alinukuliwa..."Kwa kadri ninavyochukia dhana na mifumo ya vyama vya siasa na siasa zenyewe (kama zilivyo na zinavyoendeshwa Bongo), naanza kukusanya virago vyangu kuondoka humu kama kweli jambo hili litaonesha dalili zozote kudhihirika hapo baadae!", alikaririwa.
Kwa kuwa wana JF wamejizatiti baadhi ya wanachama wake wakereketwa wamewataka wanachama hao kungatuka!
Vyanzo vya habari hizi zinapatika katika midahalao mingi ndani ya JF!
By Thread-o-journalist 😉
Ukweli ni kwamba watanzania waliokuwa na nia ya kuiongoza Tanzania katika karne nyingine ya Kisiasa Jamiii Na uchumi wamejitokeza! Kwa sababu moja yapo nzuri Chama hiki hakijaanzishwa kwa mlolongo wa wa wapiga debe wa kadamnasi hii ya "Wanaopotoka kwa nia na Kuropoka kwa sababu!"Najua jinsi vyama vingine vilivyotulet down.. this is the best chance we have..
"Ninachosema kwa maneno mawili ni kuwa 'we are screwed!" (najua ni matatu!) hakuna matumaini, hakuna njia ya kutokea, na hakuna mashujaa wetu wa kutuongoza vitani. Tufike mahali aidha tusalimu amri, au tujiunge humo humo na kula nao "sahani moja". Tufike mahali aidha tuendelee kupiga kelele kwenye mtandao na kuibua mambo kadha wa kadha au tukubaliane kujiunga nao."
"Two thumbs up!!....ridiculously entertaining, its like a breath of fresh air after a terrible and devastating magnitude # 8 earthquake".........JFVille Post Dispatch.
"insanely inovative.....sura-ya-kwanza is a trend setter".........JFVille Evening News.
"what a talent.....kula breki is a must read"............JFVille Gazzete.
"unbelievable, humour with sense"......JFVille News Tribune.
"reading kula breki is refreshing....."......JFVille Entertainment Weekly.
Majeshi ya kutumia manguvu waonekana JFreserve Vifaranga vya babu vyaonekana,🤔Waandishi wa Kugandia👀 wametumwa.
Kaa mkao wa Kula Breki!!! (Pozi kwa dakika kwani sio kila kitu sereasi)
JFVille 2nd edition🤧🤧🤧🤧🤧🙆🏿♂️😎