Sura-ya-Kwanza
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 568
- 12
- Thread starter
- #61
Kula Breki!!! karibia itafungwa Kwa sababu zizsizoweza kubadilika!
Kutoka Ofisi za Kula Breki!!! Mikocheni.
Kutoka Ofisi za Kula Breki!!! Mikocheni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona malumbano haya ya wa JF siamini, inamaana CCM wana paraganisha vyama vya upinzani ili wa monopolize siasa ya bongo, sasa wamefanikiwa kuingilia ngome ya wana JF, hii ni hatari.
Mi nadhani kuanzisha kwa internet journalism, na the so called blogging ni kuwapa fursa watu wa kila aina fursa ya kujadili machungu yao, kukosoa, kukemea kurekebisha na kufundisha bila kuenda shule ya uandishi. Sasa kuanza kwa wana JF kulumbana eti fulani hajui kuandika nikuwafungia madirisha watanzania wengi tu ambao wanaweza kuchangia au kufaidika na michango ya humu JF. Ni bora tujaribu kuwaelewa, mjaribu kunielewa ninachotaka kueleza, mnisaidie nikikosea badala ya kuniponda na kunidhalilisha. Au alternative nyingine ni, ziwekwe criteria za kuwemo humu JF, pengine hii ni forum ya waandishi na wasomi tu. Tuwekeni wazi jamani.
Kula Breki!!! karibia itafungwa Kwa sababu zizsizoweza kubadilika!
Kutoka Ofisi za Kula Breki!!! Mikocheni.
Imerudiwa!😎 Inakuja karibuni kwenye skrini yako!Uncut....😎
Picha za mpigachapa wa Kula Breki!!! Kulaleki!😎
Yes it is Hot...!😛
Itakuwa Live kwa muda wa siku mbili!
...mvuto wa kula break umeanza kupooza!
...tia chachandu mwana watu wale break!