Kula Breki!!!

Sasa dukuduku liemekuwa gumzo.
Najua jinsi vyama vingine vilivyotulet down.. this is the best chance we have..
Ukweli ni kwamba watanzania waliokuwa na nia ya kuiongoza Tanzania katika karne nyingine ya Kisiasa Jamiii Na uchumi wamejitokeza! Kwa sababu moja yapo nzuri Chama hiki hakijaanzishwa kwa mlolongo wa wa wapiga debe wa kadamnasi hii ya "Wanaopotoka kwa nia na Kuropoka kwa sababu!"

Mkuu wa Uenezi wa Kisiasa katika Jamii ya Jamii walio kijijini alinukuliwa tena na mwandishi wa kugandia,... aliyamaka wazi kuwa..."... Mbona Wapo tena"
 
Papo hapo mkuu wa kijiji hicho cha siasa JF Ville aliendelea kubwabaja...
Haya maneno kama mengine ambayo yaliwezwa kudakwa ndani ya Jukwaa mojawapo ndani ya JF Ville yanaleta utata wa Upande gani MwanaKijiji huyo yupo?

Sio shughuli wala uwezo wa wana Kula Breki!!! kuwaletea yanayoyojiri kwa kina, kila "mpigania giladi wa JF Ville"
Bonyeza Bonyeza humu humu!:gossip:
 
heheh jamani mie hizi habari za kula break huwa zinanikosha hasa ......very creative and fun! uwe unaleta atleast wiki mara moja
 
Assalam wa Breki!!!

Kazi mdundo- Wakati wa swaumu tutakula Breki!!!


 
Nawakumbusheni wakati wa Jambooooo!




:eek2:
 

Attachments

  • tukumbukeSRGMKONO.GIF
    40.1 KB · Views: 150
Where art thou?
 
Huyu mwehu angalikuwa hapa wakati huu wa Korona. Nyani Giladi.
 
Waandishi wa Kugandia👀 wametumwa.

Kaa mkao wa Kula Breki!!! (Pozi kwa dakika kwani sio kila kitu sereasi)

JFVille 2nd edition🤧🤧🤧🤧🤧🙆🏿‍♂️😎
 
Waandishi wa Kugandia👀 wametumwa.

Kaa mkao wa Kula Breki!!! (Pozi kwa dakika kwani sio kila kitu sereasi)

JFVille 2nd edition🤧🤧🤧🤧🤧🙆🏿‍♂️😎
Majeshi ya kutumia manguvu waonekana JFreserve Vifaranga vya babu vyaonekana,🤔

Wana Giladi wapanga Mkutanyiko
Pata tosha huko? Hata Yeye a'Nawapenda" Kudadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…