Kula mboga upate afya

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
MBOGA ZA MAJANI

Utafiti uliofanyika nchini Uingereza umeonesha watu wanaokula mbogamboga pekee wana afya zaidi kuliko wanaokula nyama pekee.

Je, wewe unakula mbogamboga kwa sababu ya umasikini au kuimarisha afya yako ?
 
Source/link please
 
swali fikirishi: kwanini vyakula vingi vinono na vitamu ndio vyenye madhara kwa afya??? kwanini starehe na mambo mengine yenye kuvutia mengi yanadaiwa kuwa ni dhambi????
Hahahaa...vitamu ndio Mungu aliviwekea madhara na vingine kuvifanya dhambi....kwakweli hakufanya poa kabisa.
 
Mboga gani ujue sisi wasukuma hata Mayai tunaita mboga.
Ukiona sehemu pameandikwa 'mbogamboga' jua inamaanisha mboga za majani ya kijani mkuu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mf tembele,
 
Nyinyi wasukuma na watu wa mara hata wali mnaita mboga watu wa ajabu kweli nyinyi!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Kwani sifa za kitu kuitwa mboga ni zipi?
 
swali fikirishi: kwanini vyakula vingi vinono na vitamu ndio vyenye madhara kwa afya??? kwanini starehe na mambo mengine yenye kuvutia mengi yanadaiwa kuwa ni dhambi????
Mfano nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…