Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MBOGA ZA MAJANI
Utafiti uliofanyika nchini Uingereza umeonesha watu wanaokula mbogamboga pekee wana afya zaidi kuliko wanaokula nyama pekee.
Je, wewe unakula mbogamboga kwa sababu ya umasikini au kuimarisha afya yako ?
Nyinyi wasukuma na watu wa mara hata wali mnaita mboga watu wa ajabu kweli nyinyi!Mboga gani ujue sisi wasukuma hata Mayai tunaita mboga.
Nyinyi wasukuma na watu wa mara hata wali mnaita mboga watu wa ajabu kweli nyinyi!
Siwaogopi....hata kidogoUnatukana wasukuma?
Hahahaa...vitamu ndio Mungu aliviwekea madhara na vingine kuvifanya dhambi....kwakweli hakufanya poa kabisa.swali fikirishi: kwanini vyakula vingi vinono na vitamu ndio vyenye madhara kwa afya??? kwanini starehe na mambo mengine yenye kuvutia mengi yanadaiwa kuwa ni dhambi????
Siwaogopi....hata kidogo
Hivi unaweza shiba kwa kula wali? Sisi huku kanda ya ziwa tunakula wali baada ya kushtua ugali. Chips naona wadada ndo wanazipendaNyinyi wasukuma na watu wa mara hata wali mnaita mboga watu wa ajabu kweli nyinyi!
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaOffice (305)517-357-3540
Fax (786)513-7888
info@aghlaw.firm.com
780 Tamiami Canal Road
Miami.FL33144
Address hiyo hapo niko hapa siwaogopi....
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaOffice (305)517-357-3540
Fax (786)513-7888
info@aghlaw.firm.com
780 Tamiami Canal Road
Miami.FL33144
Address hiyo hapo niko hapa siwaogopi....