Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa yani.Inategemea unapenda kula nini na unakula mgahawa wa standard gani??
Maana kuna sehemu wali 7000 na pengine 1500
Duh kazana sana nakutia moyo ,niliwahi ishi maisha hayo leo nikiyasikia napata hasira sanaHapo sasa yani.
Mimi ilikuwa asubuhi natumia 2000
Mcha 2000
Jioni 1500
Kama 45 au 50k tu.ila nikipiga hesabu nipike kila nyakati na kukaa home time zote shida.
Ndo nikaja na fomula ysngu mpya ya kula mosks niskie njaa.naweza piga milo miwili tu kwa siku ngoma ikalala
Juzi nimeenda mgahawa flani ugali alfu miatano mbona kuna dagaa,kachumbari,mchicha,harage na mchuzi pembeni. Nikatoa buku jero nikala.Kupika mwenyewe
Mana utataka mazaga kibao ukanunue upike uje uivishe msos yan pesa imeenda mgahawani unakuta tayar ready made hata hela unayotoa haifiki ile ambayo ungegharamia kupika mwenyewe sema nayo yategemea na mgahawa
Hapo hujaongeza mda unaotumia kwenda sokoni, kupika, kuosha vyombo nkKupika mwenyewe
Mana utataka mazaga kibao ukanunue upike uje uivishe msos yan pesa imeenda mgahawani unakuta tayar ready made hata hela unayotoa haifiki ile ambayo ungegharamia kupika mwenyewe sema nayo yategemea na mgahawa
Juzi nimeenda mgahawa flani ugali alfu miatano mbona kuna dagaa,kachumbari,mchicha,harage na mchuzi pembeni. Nikatoa buku jero nikala.
Nikapiga hesabu kama napika home nitagute unga robo 600+dagaa500+mchicha+mchuzi+kachumba=?
Ila home ukipika mwenyewe unajipimia na kujichagulia upike nini.
Ila muda sasa nao.
Gas mkaa? Hakuna gas ya buku.Aiseee?
Lakini mfano ukapika zako wali samaki mchana mpaka jioni ni gharama mkuu?
Yani mchele nusu 1000tsamaki+1500+mafuta+200+nyanya+500+vitunguu200=?
Mkuu siku zikinikaa napiga supu ya ngombe na tule tumafuta yake ya juu A.K.A LAYER ambayo inag'aa sana mpaka naifanya kioo pale kwa sababu najiona.Hakika ila hapo juu umesema asubuh unatumia elf 2 ya nn uko peke yako?
Hapo hujaongeza mda unaotumia kwenda sokoni, kupika, kuosha vyombo nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Ulaya kula mgawani ni uhujumu uchumi binafsi.Inategemea uko wapi, unakula nini mgahawani na ukipika unapika nini.
Kuna mahali kula mgahawani ni anasa sana kuliko kupika. Kuna sehemu kula mgahawani ni impossible future tense.
Kuna time nilikuwa nasoma ka nchi flani ulaya. Yaani ukifanya kula wali na mchuzi ni Euro 6 (tshs 16,200) aisee acha kabisa
Daah mkuu 16k mimi nakula siku tatu aiseeeeeee pole sana kws kupitia hali za kiume kama hizoInategemea uko wapi, unakula nini mgahawani na ukipika unapika nini.