Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Yan kama unatumia tangawizi au kitunguu thomu unakisia harufu tu punje tatu zinatosha kabisa kwa mboga hata mchuz hiyo tangawiz mchuzi haukushika chini kweli
Mkuu ilikuwa ni mchuzi wa samaki.
Siku hiyo nilisema nataka kufanya maajabu.
Mchuzi nilikuwa ulikuwa mzuri ila sasa uki mbaja harufu yake inakuwa ya shida sana,yani una mbaja alafu unajiuliza hakuna mwingine ananisaidia humu au ndo mimi tu?
Alafu nilichanganya na tangawizi ukubwa wa dole gumba.