Kula mgahawani na kupika mwenyewe kipi kinamaliza pesa kwa upande wako?

Kula mgahawani na kupika mwenyewe kipi kinamaliza pesa kwa upande wako?

Hahahaha sasa kama uko singo nifanyaje jamani

Nyie wanaume sawa ila mim nishazoea hiyo unabadilisha tu mapishi ili mradi bajeti ya kununua vitafunwa asubuh haipo

Anataka aje umfundishe kupika chapati madam

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahaha na kitu chochote ukipika kwa kutumia nazi na kikakolea nazi kinakua na kalekasukari ka nazi kwa mbaali na lile shata shata lake la nazi bas raha kuna siku najifunza kupika mchuzi wa nazi yan kipande cha papa hakionekani unakitafta na upawa umenikumbusha mbali sana
Nilikuwa namuona maza kuanzia saa 10 mpaka saa 1 yeye yupo jikoni.hiko chakula sasa hatarii.ngoma mchuzi mzito mpaka tunauita mchudhi mdhittoo..ukibinua bakuli mchuzi haumwagiki umegandaa kwa futa la nazi.
 
Kupika mwenyewe
Mana utataka mazaga kibao ukanunue upike uje uivishe msos yan pesa imeenda mgahawani unakuta tayar ready made hata hela unayotoa haifiki ile ambayo ungegharamia kupika mwenyewe sema nayo yategemea na mgahawa
kumbuka unapopika unaweza kupika chakula ukala zaidi ya mara moja mzee mfano maharage. au chai ukipika ukiweka kwa chupa inatumika mpaka hata kesho inategemea na uimara wa chupa
 
Ni kweli kama niko home siendi kibaruani naandaa msosi wangu wa nguvu natia kila kiungo ili nione tofauti ya kula mgahawani na kupika mwenyewe.

Siku moja nimepika mboga nikatia mbwembwe kitunguu saumu kizima nikatia kwenye mboga.
Bwana bwana bwana daaaah
Hahahaha mkuu nimecheka kwa sauti asante, kweli ulizidisha mbwembwe ila ndio kujifunza, hata sisi tunaopika mara kwa mara tunajifunza kila siku.
 
Ahahhaha we hatari mkuu.
Mimi kuna kipindi nilifulia fulia ikawa nikienda mgahawani naenda na mfuko,nikila ugali ukibaki nautia kwenye mfuko.usiku nataftia dagaa wa jero nalala.
Hahahaha safiii hakuna kuleta mbwembwe maisha yakasonga.
 
Uzuri wa kujipikia unapata kiporo cha kula asubuhi,ila mi napenda zaidi kujipikia na siku nikishinda home hasa weekend napika msosi kama ifuatavyo

Asubuhi
Nanunua samaki wa elfu 3 sangara namkata vipande 4 vitatu nakaanga

Kichwa natengeneza mchemsho wa viazi na samaki for breakfast

Mchana

Napika wali ambao nakula mchana,usiku na kesho asubuhi
Mboga ni wale samaki niliokaanga

NB: Huwa ninanunua stock ya kutosha mchele,mafuta,viazi vitunguu mi nakua na gharama tu ya mboga mwezi nzima

Kupika unaenjoy na unakula msosi wa kushiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa kujipikia mwenyewe ni unajipimia na kujipangia shida inakuja muda unataka kupika kitu flani mahitaji ukatafte uje ukae upike ukienda mgahawani unakipata tu kwa bei ambayo ungenunua mahitaji isingefika
kumbuka unapopika unaweza kupika chakula ukala zaidi ya mara moja mzee mfano maharage. au chai ukipika ukiweka kwa chupa inatumika mpaka hata kesho inategemea na uimara wa chupa
 
Hahahaha na kitu chochote ukipika kwa kutumia nazi na kikakolea nazi kinakua na kalekasukari ka nazi kwa mbaali na lile shata shata lake la nazi bas raha kuna siku najifunza kupika mchuzi wa nazi yan kipande cha papa hakionekani unakitafta na upawa umenikumbusha mbali sana
Daaaaah eti UPAWA LOH.LONG TIME SANAAA UPAWA WA ALUMINIUM UNA VIPELE VIPELE HIVI AISEEEEE.
 
Uzuri wa kujipikia unapata kiporo cha kula asubuhi,ila mi napenda zaidi kujipikia na siku nikishinda home hasa weekend napika msosi kama ifuatavyo

Asubuhi
Nanunua samaki wa elfu 3 sangara namkata vipande 4 vitatu nakaanga

Kichwa natengeneza mchemsho wa viazi na samaki for breakfast

Mchana

Napika wali ambao nakula mchana,usiku na kesho asubuhi
Mboga ni wale samaki niliokaanga

NB: Huwa ninanunua stock ya kutosha mchele,mafuta,viazi vitunguu mi nakua na gharama tu ya mboga mwezi nzima

Kupika unaenjoy na unakula msosi wa kushiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi shida yangu nikikaanga samaki anaishia jikoni.

Mwisho jana nimenunua samaki wa kukssnga nakuja kupika bhana nimefiks niksmuonja huku nyanya zipo jikoni,dah kuja kushtuka kimebaki kichwa tu.basi nikala mboga nyanya tupu.

Sijui uroho su nini
 
Sie twaita borohowa
Duuuuuhhhhhhhhh.
Ila upawa bwana naupenda sana ukiwa unachotewa barahoa. Ilikuwa siku ikipikwa barahoa nakimbilia kuosha vyombo ili nipate kulamba ule upawa....daah
 
Ahahhaha we hatari mkuu.
Mimi kuna kipindi nilifulia fulia ikawa nikienda mgahawani naenda na mfuko,nikila ugali ukibaki nautia kwenye mfuko.usiku nataftia dagaa wa jero nalala.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ilikuwa ni mchuzi wa samaki.
Siku hiyo nilisema nataka kufanya maajabu.

Mchuzi nilikuwa ulikuwa mzuri ila sasa uki mbaja harufu yake inakuwa ya shida sana,yani una mbaja alafu unajiuliza hakuna mwingine ananisaidia humu au ndo mimi tu?

Alafu nilichanganya na tangawizi ukubwa wa dole gumba.
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]...ulikuwa unatengeneza mchuzi au dawa ya tumbo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mi nikila nje lazima tumbo lijibu, na ni sehemu classic tu, tumbo linavimba, minyoo kibao....sijui ni hamira zile

Ninakula tu basi na mara chache sana sana!

Labda kwa mwezi mara moja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanatumia maviungo mengi sana sio vile common tulivyovizoea ndio maana huwa linawatokea wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom