flamini
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 533
- 586
Dah sisi home nazi ndio kila kitu,nazi tamu bwana halafu nazi haikarahishi na kila unavyoiweka nyingi ndio utamu unazidiHahahaha na kitu chochote ukipika kwa kutumia nazi na kikakolea nazi kinakua na kalekasukari ka nazi kwa mbaali na lile shata shata lake la nazi bas raha kuna siku najifunza kupika mchuzi wa nazi yan kipande cha papa hakionekani unakitafta na upawa umenikumbusha mbali sana