Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aseeKupika mwenyewe ni afadhali mi nilikuwa nanuna mazagazaga ya elfu 50 lakini nikipika mwenyewe pamoja na garama za gesi na umeme nilikuwa masevu hela nyingi kuliko kula hoteli.
Afu ata kiafya ni bora maana vyakula vya mikahawa vinavyotayarishwa acha tu usiombe kuwaona huko jikoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanatumia maviungo mengi sana sio vile common tulivyovizoea ndio maana huwa linawatokea wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi maji ya K ni uhakika?Mhhhh! Ukweli kula kwenye mgahawa kuna kutumia fedha nyingi zaidi! vijana wa sasa msidanganyike, mimi ni kijana wa zamani umri wangu ni = 50+ ukiniona uwezi amini, pamoja na kwamba ninaye wife, ila mala kadhaa wife anapokuwa mbali nami kutokana na majukumu yetu ninajipikia mwenyewe home. Chakula cha kujipikia ww huwa kinakuwa na lishe bora+Usafi n.k. niliacha kula kwenye mahoteli na migahawa baada ya kugundua ya kwamba humo kwenye vyakula vyao baadhi yao wanatumia maji yaliyochanganywa na maji ya k*m* ili kuvuta wateja na madawa mengineyo ya kienyeji, wengine huwa wana mix na amira ili chakula kiwe kingi.hata ukibisha huo ndiyo ukweli.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]...hivi ule mchemsho wa samaki tuliokula pale The G..T Park juzi uliuonaje?samtyme kuuma tumbo ni saikolojiko tu. We unatakiwa uwaze uko faivu staa hotel hata kama unakipiga buguruni.
Mkuu mwili wangu naujua wala sipati njaa.Sasa ukishakula hiyo 500 njaa c ni nusu saa tu, hakuna unacho enjoy unajiumiza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi wanafikiri kula mgahawanini rahisi sana kuliko. Kupika mm na taka kusema no.Wakuu hili jambo karibia wengi tuliopitia ubachela na hatukuwa tunaishi na wazazi basi tumelipitia sana.
Kipi kinamaliza sana pesa ?
Sasa mkuu friji siku nne liko on manake pesa ambayo unasave kwenye chakula si ndo unazidi kuitumia kununua umeme?Ukipika geto kama una friji advantg nikwamba utakula chakutosha alaf pia utahifadhi kam umepik mboga 3 unawez kuzitumia siku ata 4, matunda nayo kweny frij hayaaribiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefafanua vizuri mkuu.ila mimi niulize tu kwaamba friji ikikaa on mwezi mzima cpst yake ikoje kwenyr umeme?Watu wengi wanafikiri kula mgahawanini rahisi sana kuliko. Kupika mm na taka kusema no.
Kupika chakula chako ni rahisi sana kuliko kununua Sema tu ili uweze kuwa ktk position yakujipikia na usile mgahawani unaitaji kuwa na capital ya maandalizi ambayo in long run itakulipa.
Nilazima tukubaliane yapo mambo ya hatari kula kwenye mgahawa na moja wapo kubwa sana ni magonjwa yakuambukiza au yasababishwayo na chakula. Gharama ya chakula haitokan na wingi au. Ukubwa wa chakula ila conten iliyo anda hicho chakula. Chakula cha 1000 hakiwezi kuandaliwa na mafuta mazuri hapa namanisha mafuta yenye ubora. Pia hata mpishi hawezi kuwa na watu wazuri ktk mapishi hapa ndipo unakuja kugunduwa watu wanao kula hovyo wana patwa magonjwa ya ajabu sana na hili limethibitishwa na madaktari.
Unaweza kuokoa pesa nyingi ktk. Kujipikia kuliko kupikiwa ukiwa mwenye akili na ubunifu ktk mapishi thanks God now a dya teach imekuwa kubwa sana kiasi kwamba mtu anaweza jitengenezea break fast na luch box yake home sweet home.
Maitaji makubwa sana ktk kujitengenezea msos wako mwenyewe ni
Frige,
Jiko la gas
Na vifaa vya kuifadhi chakula.
Ili uweze pika chakula chako mwenyewe ni lazima uwe na tabia kununua vitu vyako ktk bei ya jumla namanisha nn hapa kwa wale waliopo dar badala yakununua vitu kwa mangi gengeni jiwekee tabia kununua vitu buguruni sokon au kariakoo nahapa. Penda kwenda asubuh sana. Ukienda asubuh vitu ni fresh na huwa vinauzwa kwa bei nafuu.
Mfano mzuri nipale mm naweza tumia nyanya za Tsh 3000 mwez mzima na siri ni moja nanunu kwa bulk sokoni. Mkate wa Tsh 3000 natumia wk zima na siku moja. Nikijumlisha gharama za Kujipikia na kununua mgahawan Napata faida kubwa sana ikiwemo afya yangu Siwez pata homa ya main au mapafu, kifuwa kikuu maana nakula nacho pika mwenyewe tena natumia alizeti.
Kwa week na save almost 60,000/ nina amini ktk kujiwekea saving kwa kupunguza exp ambazo sio za msingi.
Ofisi inatoa maji hivyo nakunywa maji mengi ofisin huku nikienda na yalio baki home.
Naamka Usiku kuandaa breakfast yangu na lunch ya mchana kiukweli namuona Mungu ktk. Haya yote.
Ndio maana some of the richest people wanakula home na hawanunui maotelini pamoja na utajiri walio nao.
Familia nyingi za kiafrika na Tanzania watu wanakula maofisi na kiukweli wanapata umasikin wa mwaka hata kama wao wanaona hakuna hasara. Embu tafakari boss anaye enda pata lunch sheraton anatumia Tsh ngapi?
Maofisi mtu analipwa Labda 500k anakula msosi Tsh 7000 je kuna maendeleo hapo? Umasikin wetu ni ushamba wetu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]...hivi ule mchemsho wa samaki tuliokula pale The G..T Park juzi uliuonaje?
Wanaweka nako maji ya K?
Kuna mdau hapo juu kaniogopesha Sana[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha mkuu acha ufwalaa bhanaa.saikolojia tena?
Anazingua huyu[emoji16]Hahahhaha mkuu acha ufwalaa bhanaa.saikolojia tena?