Kula mgahawani na kupika mwenyewe kipi kinamaliza pesa kwa upande wako?

Kula mgahawani na kupika mwenyewe kipi kinamaliza pesa kwa upande wako?

Mkuu ilikuwa ni mchuzi wa samaki.
Siku hiyo nilisema nataka kufanya maajabu.

Mchuzi nilikuwa ulikuwa mzuri ila sasa uki mbaja harufu yake inakuwa ya shida sana,yani una mbaja alafu unajiuliza hakuna mwingine ananisaidia humu au ndo mimi tu?

Alafu nilichanganya na tangawizi ukubwa wa dole gumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nitasema hivi " inategemea na idadi ya familia au watu ulio nao na una waghalamia kwa chakula na aina ya chakula...pia aina ya mgahawa inahusika" kama uko mwenyewe na una na sehemu ya kawaida kwa chakula cha kawaida hii ndio njia rahisi isiyo na gharama kifedha japo kama untaenda vichochoroni jiandae na ghalama za kipindupindu. Ukiwa na familia ni rahisi kupika nyumbani.

Hapa nimeondoa muda wa kazi, ni chakula cha jioni au weekend tu.
 
Kabisa ila msimu huu wa mvua nazi zaweza adimika masokoni kiasi
Dah sisi home nazi ndio kila kitu,nazi tamu bwana halafu nazi haikarahishi na kila unavyoiweka nyingi ndio utamu unazidi
 
Apo mgahawani ina maliza xaan pesa
Unaeza kuta msosi ambao ukipik ww ina kost 1000 lkn mgahawan inaongezek jero ingine
Alfu apo na kulingan na mgahawa hadhi akee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkuu
Eti mkuu mimi niulize kitu,na hicho ndo ilikuwa mantiki ya kuandika mada yangu.

Nasave pesa kwa kuwa nakula nyumbani badala ya mgahawani sawaaa.

Lakini sasa hiki chakula cha nyumbani nakihifadhi kwenye friji mwezi mzima friji sizimi ili vyakula visiharibike.

Swali langu ni hivi " hapa kama tunaokoa pesa upande wa chakula kwa maana tunasave jee hixi tunazosave si ndo hizo zinatumika kununulia umeme kwa ajili ya kufanya friji iwake mwezi mzima ili vyakuls visiharibike?
 
Chakula gan unapika unahifadhi mwezi kwenye friji?? Hqkipotezi tasye kweli?? Pika size yako uweze bana matumozi ya friji pia yan unapika size kikibaki unahifadhi kesho unamalizia sio mwez mzima jaman

Kama nakula nyumbani kila siku maana yake nyanya ziwepo kwenye friji,kama samaki au nyama iwepo kwenye friji,mboga kama nikipika naihifadhi kwenye friji. Sasa madame hii si itakuwa taratibu ya kila siku au?

Manake hata kama nyama imeisha leo kwenye friji bado nyanya zipo na hivyo friji litawaka.kwa hyo manake bado friji litakuwa On full time. Au hujaafiki bado madame?
Chakula gan unapika unahifadhi mwezi kwenye friji?? Hqkipotezi tasye kweli?? Pika size yako uweze bana matumozi ya friji pia yan unapika size kikibaki unahifadhi kesho unamalizia sio mwez mzima jaman
 
Fanya hivi tafta nyanya ngumu ambazo zinastahmili kukaa kwa siku mbili tatu hasa nyanya mshumaa hua zinakaa sana, ukipika mboga pika size sio lazima uweke kwenye friji wawez pasha tu ukaacha kipoe ukafunika hakichachi wala nyama sjui samaki kama wameganda kama jiwe waweza zima friji hata siku moja tena vizur zaidi samaki ukawasafisha kuwatoa matumbo ndio uwwweke kwenyw friji me hua nafanya hivo nikishaona vimeganda wakat mwengine samaki au nyama ikiniishia kama nina juise au maji yan yakishapata baridi friji inazimwa hapo maji nimeeka size najua tukikaa mezani tukila yakinywewa mpaka asubuh nitakapoosha chupa nizijaze tena niziweke siachi liungurume tu

Back
Top Bottom