kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
duu nyanya mwezi mzima tusio na mafridge tufanyajeWatu wengi wanafikiri kula mgahawanini rahisi sana kuliko. Kupika mm na taka kusema no.
Kupika chakula chako ni rahisi sana kuliko kununua Sema tu ili uweze kuwa ktk position yakujipikia na usile mgahawani unaitaji kuwa na capital ya maandalizi ambayo in long run itakulipa.
Nilazima tukubaliane yapo mambo ya hatari kula kwenye mgahawa na moja wapo kubwa sana ni magonjwa yakuambukiza au yasababishwayo na chakula. Gharama ya chakula haitokan na wingi au. Ukubwa wa chakula ila conten iliyo anda hicho chakula. Chakula cha 1000 hakiwezi kuandaliwa na mafuta mazuri hapa namanisha mafuta yenye ubora. Pia hata mpishi hawezi kuwa na watu wazuri ktk mapishi hapa ndipo unakuja kugunduwa watu wanao kula hovyo wana patwa magonjwa ya ajabu sana na hili limethibitishwa na madaktari.
Unaweza kuokoa pesa nyingi ktk. Kujipikia kuliko kupikiwa ukiwa mwenye akili na ubunifu ktk mapishi thanks God now a dya teach imekuwa kubwa sana kiasi kwamba mtu anaweza jitengenezea break fast na luch box yake home sweet home.
Maitaji makubwa sana ktk kujitengenezea msos wako mwenyewe ni
Frige,
Jiko la gas
Na vifaa vya kuifadhi chakula.
Ili uweze pika chakula chako mwenyewe ni lazima uwe na tabia kununua vitu vyako ktk bei ya jumla namanisha nn hapa kwa wale waliopo dar badala yakununua vitu kwa mangi gengeni jiwekee tabia kununua vitu buguruni sokon au kariakoo nahapa. Penda kwenda asubuh sana. Ukienda asubuh vitu ni fresh na huwa vinauzwa kwa bei nafuu.
Mfano mzuri nipale mm naweza tumia nyanya za Tsh 3000 mwez mzima na siri ni moja nanunu kwa bulk sokoni. Mkate wa Tsh 3000 natumia wk zima na siku moja. Nikijumlisha gharama za Kujipikia na kununua mgahawan Napata faida kubwa sana ikiwemo afya yangu Siwez pata homa ya main au mapafu, kifuwa kikuu maana nakula nacho pika mwenyewe tena natumia alizeti.
Kwa week na save almost 60,000/ nina amini ktk kujiwekea saving kwa kupunguza exp ambazo sio za msingi.
Ofisi inatoa maji hivyo nakunywa maji mengi ofisin huku nikienda na yalio baki home.
Naamka Usiku kuandaa breakfast yangu na lunch ya mchana kiukweli namuona Mungu ktk. Haya yote.
Ndio maana some of the richest people wanakula home na hawanunui maotelini pamoja na utajiri walio nao.
Familia nyingi za kiafrika na Tanzania watu wanakula maofisi na kiukweli wanapata umasikin wa mwaka hata kama wao wanaona hakuna hasara. Embu tafakari boss anaye enda pata lunch sheraton anatumia Tsh ngapi?
Maofisi mtu analipwa Labda 500k anakula msosi Tsh 7000 je kuna maendeleo hapo? Umasikin wetu ni ushamba wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app