Kula mgahawani na kupika mwenyewe kipi kinamaliza pesa kwa upande wako?

Njaa haina bondia ikikukamata inavyotaka utatafta chakula mwenyewe
Yaani acha tu.
Hapa nimeamka nna njiaa hatari nazurura kama kuku kutafuta iko wapi supu wanauza.mana habari ya kuanza kupika chai saivi huo muda bora nipoteze kusaka supu
 
Nimeamka mapema sana leo hubby alikua anatoka hivo nimeamka nikapika zangu chapati nankamchuzi kakutoelea chapati asubuh kwangu ilipita hivo
Yaani acha tu.
Hapa nimeamka nna njiaa hatari nazurura kama kuku kutafuta iko wapi supu wanauza.mana habari ya kuanza kupika chai saivi huo muda bora nipoteze kusaka supu
 
Kula mgahawani ni gharama sana....
Binafsi asubuhi 2k-3k
Mchana 4k-7k
Jioni huwa nanunua matunda ya 10k natumia week nzima.

Ila ukipika mwenyewe gharama upungua kama utanunua vitu kwa jumla ila tatzo ni moja tu MUDAAAAAA....

At the end kwa bachelor kula mgahawani siku za kazi weekend jaribu home.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah.mda tatixo mkuu
 
Nimeamka mapema sana leo hubby alikua anatoka hivo nimeamka nikapika zangu chapati nankamchuzi kakutoelea chapati asubuh kwangu ilipita hivo
Mchele ambao unapata kilo 10 alafu una vijidudu viduchu viduchu kama vinaruka ruka hivi.navitoa vipi vijududu hivi ili niendelee kutumia mchele wangu?
 
Umekaa sana ukiuchabua upepete na wakat wa kuosha wakija juu wachuje saa zingine hawatoki wote

Yani bora niwatafunie hivyo hivyo niwafanye mboga Tu kuliko kumwaga mcheleee
 
Kwa wanaume ambao hamjaoa,una kauwezo kako nunua sato wa mwanza waliokaangiwa hukohuko,ndani uwe na Michele,viazi,unga nyanya na kitunguu na mafuta
Ukirudi kama wali bandika kaoge ukiiva Samaki kwenye sufuria kitunguu kidogo nyanya na mafuta kidogo na maji size funika ukifunua tayari,siku ya Viaz unapika mchemsho siku ugali Fanya kama wali
Unatumia muda mfupi na chakula kitamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…