Katika Interview ya jacky & millard ayo, jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite, na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyuJacky mengi hata kuweka hela ya mafuta na service kwenye range yake au v8 yake anamtegemea Regina atume hela ya watoto kila mwez na yeye achukue hapo chake..ingawa Jacky ndo anawasema vibaya akina Regina mitandaoni na mdogo wa mengi Mr. Benjamin
Siku Regina na abdiel wakikata mirija ya pesa inayoenda kwa Jacky, bhasi baada ya miaka mitano itabidi Jacky aanze kupanda daladala..

Au akupeleke kwao na wakwe wakusute Kiingereza, duniani tumeumbiwa mateso.Mi nafikiri kuoa mzungu ni taabu kwelikweli. We fikiria vile ndio umerudi kutoka kazini umechoka halafu tena uanze kuongea kiingereza. Dah!
Yule kylin alishazoea kudanga ili apewe hela sio za kutafuta mwenyewe, kwa hivyo hata Leo hii wakisema wakambidhi bonite hawezi kutoboa kimaisha
Kwa kuolewa na kuishi na mzee Mengi alitakiwa awe mbali sana kimaisha atlist awe na kiwanda hata cha kutengeneza toothsticks au toilet paper 😅😅😅sasa anaishi kwa child support ya usd 2000monthly huruma kwa kweli
Au akupeleke kwao na wakwe wakusute Kiingereza, duniani tumeumbiwa mateso.
Ulivyo andika ni as if Jacky hana haki yoyote na anapaswa kuwanyenyekea wakina Regina ili aweze kupata haki zakeKatika Interview ya jacky & millard ayo, jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite, na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyuJacky mengi hata kuweka hela ya mafuta na service kwenye range yake au v8 yake anamtegemea Regina atume hela ya watoto kila mwez na yeye achukue hapo chake..ingawa Jacky ndo anawasema vibaya akina Regina mitandaoni na mdogo wa mengi Mr. Benjamin
Siku Regina na abdiel wakikata mirija ya pesa inayoenda kwa Jacky, bhasi baada ya miaka mitano itabidi Jacky aanze kupanda daladala..
Hata mimi piga ua siwezi kubali hilo Danga. Opportunist. Golddigger. Mali ni za familia toka enzi anazitolea ulimi kama dog koko. Atafute zake. Watoto watakula, watavaa na watasoma na mali watakuwa nazo maana kampuni zipo na ndugu zao wanawatambua.Ulivyo andika ni as if Jacky hana haki yoyote na anapaswa kuwanyenyekea wakina Regina ili aweze kupata haki zake
Kwa vyovyote vile Jacky ni mke halali wa marehemu anastahiki zote na mali za marehemu hadi pale mahakama itakapo fanya mgao kila mtu aendelee na maisha yake
Wanachofanya watoto wa marehemu ni ubabe dhidi ya mjane wa marehemu
Wangekaa naye tu chini wakayajenga akapewa kitengo ipp media maisha yangekuwa mepesi tu
Sema sasa watoto hawamkubali mama yao toka baba akiea hai
Amekufa imekua balaa
Inaweza kuwa ina sound hivyo lakini sasa mwenye mali baba ndio amachagua hapo.......ndio mama huyo tanaHata mimi piga ua siwezi kubali hilo Danga. Opportunist. Golddigger. Mali ni za familia toka enzi anazitolea ulimi kama dog koko. Atafute zake. Watoto watakula, watavaa na watasoma na mali watakuwa nazo maana kampuni zipo na ndugu zao wanawatambua.