Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Katika Interview ya Jacky & Millard ayo, Jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyu Jacky mengi hata kuweka hela ya mafuta na service kwenye range yake au v8 yake anamtegemea Regina atume hela ya watoto kila mwezi na yeye achukue hapo chake. Ingawa Jacky ndio anawasema vibaya akina Regina mitandaoni na mdogo wa mengi Mr. Benjamin.

Siku Regina na Abdiel wakikata mirija ya pesa inayoenda kwa Jacky, bhasi baada ya miaka mitano itabidi Jacky aanze kupanda daladala.
 
Katika Interview ya jacky & millard ayo, jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite, na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyuJacky mengi hata kuweka hela ya mafuta na service kwenye range yake au v8 yake anamtegemea Regina atume hela ya watoto kila mwez na yeye achukue hapo chake..ingawa Jacky ndo anawasema vibaya akina Regina mitandaoni na mdogo wa mengi Mr. Benjamin

Siku Regina na abdiel wakikata mirija ya pesa inayoenda kwa Jacky, bhasi baada ya miaka mitano itabidi Jacky aanze kupanda daladala..

Yaani baba na mama ako wakijua unamuwaza na kumfuatilia Jack huku ww maskini watakulaani
 
Katika Interview ya jacky & millard ayo, jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite, na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyuJacky mengi hata kuweka hela ya mafuta na service kwenye range yake au v8 yake anamtegemea Regina atume hela ya watoto kila mwez na yeye achukue hapo chake..ingawa Jacky ndo anawasema vibaya akina Regina mitandaoni na mdogo wa mengi Mr. Benjamin

Siku Regina na abdiel wakikata mirija ya pesa inayoenda kwa Jacky, bhasi baada ya miaka mitano itabidi Jacky aanze kupanda daladala..

Yule kylin alishazoea kudanga ili apewe hela sio za kutafuta mwenyewe, kwa hivyo hata Leo hii wakisema wakambidhi bonite hawezi kutoboa kimaisha

Kwa kuolewa na kuishi na mzee Mengi alitakiwa awe mbali sana kimaisha atlist awe na kiwanda hata cha kutengeneza toothsticks au toilet paper 😅😅😅sasa anaishi kwa child support ya usd 2000monthly huruma kwa kweli
 
Mmh umejuaje Jacky anapewa child support ya USD 2000 kwa mwezi Mimi.
 
Katika Interview ya jacky & millard ayo, jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite, na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyuJacky mengi hata kuweka hela ya mafuta na service kwenye range yake au v8 yake anamtegemea Regina atume hela ya watoto kila mwez na yeye achukue hapo chake..ingawa Jacky ndo anawasema vibaya akina Regina mitandaoni na mdogo wa mengi Mr. Benjamin

Siku Regina na abdiel wakikata mirija ya pesa inayoenda kwa Jacky, bhasi baada ya miaka mitano itabidi Jacky aanze kupanda daladala..
Ulivyo andika ni as if Jacky hana haki yoyote na anapaswa kuwanyenyekea wakina Regina ili aweze kupata haki zake

Kwa vyovyote vile Jacky ni mke halali wa marehemu anastahiki zote na mali za marehemu hadi pale mahakama itakapo fanya mgao kila mtu aendelee na maisha yake

Wanachofanya watoto wa marehemu ni ubabe dhidi ya mjane wa marehemu

Wangekaa naye tu chini wakayajenga akapewa kitengo ipp media maisha yangekuwa mepesi tu
Sema sasa watoto hawamkubali mama yao toka baba akiea hai
Amekufa imekua balaa
 
Mimi hata hizo usd 2,000 asingeziona. Hakuwa na upendo na hiyo familia aliyoikuta. Alikuwa kula starehe na forgery za Will na kumtumikisha mzee Mengi kwenye tarehe wakati akijua kuwa ni mgonjwa na alikuwa pia na masharti ya kidaktari hasa baada ya Stem cell implant. Akambeba kupeleka Dubai bila hata nurse au Doctor wake kisa eti watoto wanalilia kwenda huko. Marehemu kipindi Ruge anaagwa alikuwa anashikiliwa ili aweze kufanya stepping na Mimi nilishuhudia pia maeneo fulani akiwa anashuka step ndogo tu alikuwa anashikiliwa. Yaani mwanamke hovyo kabisa huyu.
Eti utasikia "Marehemu mume wangu" . Shwetani
 
Ulivyo andika ni as if Jacky hana haki yoyote na anapaswa kuwanyenyekea wakina Regina ili aweze kupata haki zake

Kwa vyovyote vile Jacky ni mke halali wa marehemu anastahiki zote na mali za marehemu hadi pale mahakama itakapo fanya mgao kila mtu aendelee na maisha yake

Wanachofanya watoto wa marehemu ni ubabe dhidi ya mjane wa marehemu

Wangekaa naye tu chini wakayajenga akapewa kitengo ipp media maisha yangekuwa mepesi tu
Sema sasa watoto hawamkubali mama yao toka baba akiea hai
Amekufa imekua balaa
Hata mimi piga ua siwezi kubali hilo Danga. Opportunist. Golddigger. Mali ni za familia toka enzi anazitolea ulimi kama dog koko. Atafute zake. Watoto watakula, watavaa na watasoma na mali watakuwa nazo maana kampuni zipo na ndugu zao wanawatambua.
 
Inaweza kuwa ina sound hivyo lakini sasa mwenye mali baba ndio amachagua hapo.......ndio mama huyo tana

Sema huyu demu naye mshamba sana unaishi na mzee kama yule na unaona kabisa jua limeisha chwea unashindwaje kumpanga ukawa na miradi yako pembeni ya maana hata likizama basi unaendelea na maisha vizuri wakati unadai urithi wa mumeo

Kakaa kiboyo sasa hivi hata hela ya mafuta kwa gari mtihani hadi wakina Regina wamfikirie
Anaishia kulia lia kwenye media wakati nafasi kaichezea mwenyewe
Golddigger gani kolo namna hii
 
Aiseee haya mambo kumbe bado yapo.? Jaq ana biashara zake yule dada za urembo/nguo , i don't think kama anamtegemea 100 pasee Regina/Abdiel ,halafu Jaq hawezi kukosa danga la kumpa mikwanja hapa town.
 
Back
Top Bottom