Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Amga
Mbona unatuwekea maneno mdomoni mkuu wote. MIE Nilikuwa nawabadilisha enzi hizo ,mpaka sikuona jipya yote ni ile ile saivi nimeoa nimetulia MIE wangu ananitoa hamu zote zinaisha. Muda huu nawaza sijui ninawezaje kum overtake Jeff Benzos. MTU anamiliki trillioni 468 Hela za kitanzania. Na hukua MIE bado hata nusu bilioni sijafika. Na ukiwa na mawazo Hayo hamu pia hupungua
Hamna mwanaume mwenye hela ambaye habadilishi magoma...Labda awe na diabetes type 2!
 
Amga
Mbona unatuwekea maneno mdomoni mkuu wote. MIE Nilikuwa nawabadilisha enzi hizo ,mpaka sikuona jipya yote ni ile ile saivi nimeoa nimetulia MIE wangu ananitoa hamu zote zinaisha. Muda huu nawaza sijui ninawezaje kum overtake Jeff Benzos. MTU anamiliki trillioni 468 Hela za kitanzania. Na hukua MIE bado hata nusu bilioni sijafika. Na ukiwa na mawazo Hayo hamu pia hupungua
Hio ni sawa ila kumbuka Upo shithole country! Hamia US utakuwa haraka haraka.
 
Hahahah muhindi atoi hela kisenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!! Ogopa sana mtu anayeuza vifungo, sindano na uzi anameki hadi ananunua prado ya 70M!

Maslay queen lazma watoke mbio maana hamna maslahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti amayeuza uzi, vifungo sindano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kusoma story za mtandaoni, na uache umbea pia...ninamjua aunty ezekiel, long way kabla hajampiga chini jacky pemba, huwezi kumtomba kwa laki, kwanza huwezi kumtomba kama hajakuelewa
 
Wee huoni siku hizi flaviee yuko closer na fatema, mie ndo nlkua najua mchuchu wa MO n flavie, sasa nashangaa mnasema kua n mama wawili lol
Hivi huyu flavi Ile ndoa yake Nini kiliifanya ikavunjika? Mimi najua tu huwa wanatoka na Mo, Ila Sasa mooo anatoka na mjane wa taifa hata juzi walikuwa taifa
 
Mbna hiyo juz taifa, flaviee alkua benett na fatema, hukuona? Labda ana wala wote wawili
Mjane wa taifa ameanza kutoka naye baada ya kufiwa Flav wa long time, juzi mjane alipiga naye picha ndani uwanjani sio kule kwa mashabiki
 
Mjane wa taifa ameanza kutoka naye baada ya kufiwa Flav wa long time, juzi mjane alipiga naye picha ndani uwanjani sio kule kwa mashabiki
Eeeeeh makubwa mie hata sikua najua, yaan [emoji3550]inatembea hatareeeeeh. Mmmmmmh
 
Katika Interview ya jacky & millard ayo, jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite, na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyuJacky mengi hata kuweka hela ya mafuta na service kwenye range yake au v8 yake anamtegemea Regina atume hela ya watoto kila mwez na yeye achukue hapo chake..ingawa Jacky ndo anawasema vibaya akina Regina mitandaoni na mdogo wa mengi Mr. Benjamin

Siku Regina na abdiel wakikata mirija ya pesa inayoenda kwa Jacky, bhasi baada ya miaka mitano itabidi Jacky aanze kupanda daladala..

Haiwezekani Kyline aje apande daladala.

Kama hiyo story ni kweli basi yeye anatakiwa kuishi maisha ya kawaida na aachane na hizo gari anazotumia.

Atafute tu IST ya mizunguko ya hapa na pale.

Pia aachne na wapambe ndo watakaommaliza.
 
Back
Top Bottom