Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi


Mmmh wewe, haya unayosema yana ukweli? Au umeyatunga mwenyewe kichwani, hii habari ya kyln kuiuza amorete umeipata toka kwenye chanzo cha kuaminika? Mimi.
 
"Unajenga tabia kisha tabia inakujenga"

tatizo dada yetu yeye ni mdangaji (mjasilia Mbunye) ni vigumu kuwa na akili za kijasirilia mali kishazoea kuvuna kupitia mbunye,ndio maana kipindi kile anapewa mabilion na mzee Mengi akafanye biashara,yy akazitapanya na kula bata.

Ila kama angekuwa type za wanawake wale wenye vision na idea,sasa hivi angekuwa na hela nyingi sizani kama angefikiria huo urithi,yaani kwa mwaka angekuwa na uwezo wa kutengeneza zaidi ya mil 500 kipitia miradi yake binafsi.

Ndio tabu ya wadada wa siku hizi wa mama wa zamani wana mahesabu makali,kuna mmama moja ni nyumba ndogo ya mzee mmoja alikiwa shirika la bima sasa hivi kishatumbuliwa,yule mmama ana maduka ya jumla ya vinywaji matatu na kampuni yake ya mapishi,pamoja na mzee kufulia yy bado haja tetereka.

Mimi nina uhakika huyu hata akipewa urithi wote wa mzee Mengi,ataishia kuzitapanya mali na kudhulumiwa tu.
 
Atakuwa anataka kuwa social media influencer au kama vip afungue tuu chuo afundishe watu iyo interior design
 

Kuendesha Miradi ni kipaji sio Kila mtu anacho.. ni kama vipaji vingine tu kama kuimba n.k
 
Kauza biashara imeshamshinda

Unapokua na mume kama yule, kila aina ya biashara utakayofanya itaonekana inalipa na inakua. Kumbe usijue ukuaji wa hiyo biashara ni kwavile inahusishwa na jina la mzee! Unaweza kuta unapata deals, connections, tender nk we ukadhani ni biashara inachanganya, kumbe ni kwasababu ya goodwill ya mzee. Pia ukitetereka kidogo, au ukihitaji kuongeza vitu mzee yupo anatoa ruzuku mambo yanaenda. Sasa subiri awe hayupo... mwaka tu kila kitu chali!!
 
Mimi mwanaume mzima siwezi nunua kabichi niibebe mkononi.

Heri niipige danadana mpka nyumbani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji3][emoji3][emoji2][emoji3][emoji3][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…