Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Ameuza hiyo company Na hela amekula zimeisha mpaka magari alikua anauza ya urithi

siku hizi naona anafundisha wana Instagram interior designing online unalipia sh ngapi sijui naona ndio apate hela ya kuongezea kula bata zake , maisha haya😀😀😀

Mmmh wewe, haya unayosema yana ukweli? Au umeyatunga mwenyewe kichwani, hii habari ya kyln kuiuza amorete umeipata toka kwenye chanzo cha kuaminika? Mimi.
 
"Unajenga tabia kisha tabia inakujenga"

tatizo dada yetu yeye ni mdangaji (mjasilia Mbunye) ni vigumu kuwa na akili za kijasirilia mali kishazoea kuvuna kupitia mbunye,ndio maana kipindi kile anapewa mabilion na mzee Mengi akafanye biashara,yy akazitapanya na kula bata.

Ila kama angekuwa type za wanawake wale wenye vision na idea,sasa hivi angekuwa na hela nyingi sizani kama angefikiria huo urithi,yaani kwa mwaka angekuwa na uwezo wa kutengeneza zaidi ya mil 500 kipitia miradi yake binafsi.

Ndio tabu ya wadada wa siku hizi wa mama wa zamani wana mahesabu makali,kuna mmama moja ni nyumba ndogo ya mzee mmoja alikiwa shirika la bima sasa hivi kishatumbuliwa,yule mmama ana maduka ya jumla ya vinywaji matatu na kampuni yake ya mapishi,pamoja na mzee kufulia yy bado haja tetereka.

Mimi nina uhakika huyu hata akipewa urithi wote wa mzee Mengi,ataishia kuzitapanya mali na kudhulumiwa tu.
 
Ameuza hiyo company Na hela amekula zimeisha mpaka magari alikua anauza ya urithi

siku hizi naona anafundisha wana Instagram interior designing online unalipia sh ngapi sijui naona ndio apate hela ya kuongezea kula bata zake , maisha haya😀😀😀
Atakuwa anataka kuwa social media influencer au kama vip afungue tuu chuo afundishe watu iyo interior design
 
Inaweza kuwa ina sound hivyo lakini sasa mwenye mali baba ndio amachagua hapo.......ndio mama huyo tana

Sema huyu demu naye mshamba sana unaishi na mzee kama yule na unaona kabisa jua limeisha chwea unashindwaje kumpanga ukawa na miradi yako pembeni ya maana hata likizama basi unaendelea na maisha vizuri wakati unadai urithi wa mumeo

Kakaa kiboyo sasa hivi hata hela ya mafuta kwa gari mtihani hadi wakina Regina wamfikirie
Anaishia kulia lia kwenye media wakati nafasi kaichezea mwenyewe
Golddigger gani kolo namna hii

Kuendesha Miradi ni kipaji sio Kila mtu anacho.. ni kama vipaji vingine tu kama kuimba n.k
 
Kauza biashara imeshamshinda

Unapokua na mume kama yule, kila aina ya biashara utakayofanya itaonekana inalipa na inakua. Kumbe usijue ukuaji wa hiyo biashara ni kwavile inahusishwa na jina la mzee! Unaweza kuta unapata deals, connections, tender nk we ukadhani ni biashara inachanganya, kumbe ni kwasababu ya goodwill ya mzee. Pia ukitetereka kidogo, au ukihitaji kuongeza vitu mzee yupo anatoa ruzuku mambo yanaenda. Sasa subiri awe hayupo... mwaka tu kila kitu chali!!
 
Mimi mwanaume mzima siwezi nunua kabichi niibebe mkononi.

Heri niipige danadana mpka nyumbani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji3][emoji3][emoji2][emoji3][emoji3][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom