Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Hata angenila Mimi shida yako nini ? Uliniazima vitundu?😪unataka na wewe ukampe?
Samahàni dia kama nimekukwaza ,pia angekukula wala hakuna shida . mana ungekuwa Umeliwa na Billionaire wa Tanzania na sio kama sie tunaokaa huku Igogo Mwanza
 
Atamuuwa na modewji sasa
 
Duh..kweli mm nasindikiza watu kuishi ..hii ndo naisikis hapa...duh Misa na mo!!
Upo huku Mkuu
Acha tusafishe macho ni habari zaidi ya bbc na cnn kha! Siasa ngoja kidogo maanaaa akili zimesinzia mioyo ipo Juu mara wajumbe mara watia nia mara wateuliwa wamekatwa fomu sijui zimefanya nini pingamizi kubutuliwa kutupilia mbali na mengineyo....... Ngoja tufaudu habari moto moto za mjini
Moooooo mmmh hatareee
Kuishi kwingi ni kuona mengi
 
Hahahaha my dear kwakweli tupumzike na kina NEC .tunapitwa na mengi...mjini pazuri Sana...namuonaga Mo Kama mstaarabu Fulani hee .kumbe walewale
 
Inamtosha kula kuku, kula bata haitoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…