Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Masikini siku zote humwesabia tajiri aiki za kufilisika
 
Unapokua na mume kama yule, kila aina ya biashara utakayofanya itaonekana inalipa na inakua. Kumbe usijue ukuaji wa hiyo biashara ni kwavile inahusishwa na jina la mzee! Unaweza kuta unapata deals, connections, tender nk we ukadhani ni biashara inachanganya, kumbe ni kwasababu ya goodwill ya mzee. Pia ukitetereka kidogo, au ukihitaji kuongeza vitu mzee yupo anatoa ruzuku mambo yanaenda. Sasa subiri awe hayupo... mwaka tu kila kitu chali!!
I feel sorry for her, atamu miss company maana kylin vitu vingi kashauza sioni hata movement za marafiki zake
 
Ameuza hiyo company Na hela amekula zimeisha mpaka magari alikua anauza ya urithi

siku hizi naona anafundisha wana Instagram interior designing online unalipia sh ngapi sijui naona ndio apate hela ya kuongezea kula bata zake , maisha haya[emoji3][emoji3][emoji3]
Sikuhizi hata hela ya saluni inamsumbua, ingetakiwa awe mjanja kutafta miradi yake pembeni na sio kutegemea ku temper Mambo ya urithi, na mbaya zaidi alichokosea Ni kusambaza hyo mirathi na kuwachafuq watoto wakubwa wa mengi, na sikuhizi anatoka na Mo dewji loh namhurumia kweli
 
Sasa watoto anasomeshewa tena IST na allowance ya Usd 2000 kwa mwezi ni karibu milioni 5 hiyo.. sasa milioni 5 kila mwezi kwa maisha ya kibongo kitunguu kisado hakifiki hata 5000 milioni 5 nyingi sana hata branch manager wa benk halipwi net hiyo kwa mwezi... yaani hiyo kula tu maana nyumba anaishi ya mume wake bado hakuna kodi.
Child support tu inamtosha kula bata yeye na watoto wake. Maana ni kubwa sana kwa maisha ya kibongo
Hyo nyumba anayoishi Ni ya kampuni sio ya mengi though hutoa Kodi na kulipia pia kapunguza wafanyakazi baada ya kushindwa kuwalipa, that's according to wambeya wa Instagram
 
Inaweza kuwa ina sound hivyo lakini sasa mwenye mali baba ndio amachagua hapo.......ndio mama huyo tana

Sema huyu demu naye mshamba sana unaishi na mzee kama yule na unaona kabisa jua limeisha chwea unashindwaje kumpanga ukawa na miradi yako pembeni ya maana hata likizama basi unaendelea na maisha vizuri wakati unadai urithi wa mumeo

Kakaa kiboyo sasa hivi hata hela ya mafuta kwa gari mtihani hadi wakina Regina wamfikirie
Anaishia kulia lia kwenye media wakati nafasi kaichezea mwenyewe
Golddigger gani kolo namna hii
Tatizo akili ya kuwekeza sio kila mtu anayo
 
Shida biashara yake Ali target high class people lazima tu idorore, tofauti na kuanzisha biashara inayotumiwa na watu wengi
Ndo alipo fail mama wawili hapo tyuuuh, ange plan biashara ambayo hata mwajuma ndala ndefu au John kaptura kiraka wanachangia sent zao, ange ivest pakubwa mnooh.
 
Hyo nyumba anayoishi Ni ya kampuni sio ya mengi though hutoa Kodi na kulipia pia kapunguza wafanyakazi baada ya kushindwa kuwalipa, that's according to wambeya wa Instagram

Yes nyumba zina majina ya IPP kwa hiyo hawezi kuuza wala kuchukulia mkopo , na anakaa bure halipi kodi , familia Ya mzee Mengi ilimpa nyumba ya Machame , kinondoni na magari yote ya marehemu ndio hayo ameanza kuuza

Na pia nyumba zote mbili Machame na kinondoni ni kubwa sana maintenance ya zile nyumba ni lazima uwe tajiri kweli kweli Umeme, maji , wafanyakazi na vinginevyo zimeshaanza kumshinda

sasa bibie alilalamika hela Haitoshi Anayopewa ni ndogo haitoshi maintenance akaambiwa kwa Sababu upo wewe na watoto wawili nyumba kubwa sana kaa kwenye apartment akakataa anataka the same life style Kama mzee Mengi alivyokuepo of which hakuna mtu ataekubali kugharamia starehe zake
 
Tatizo huyo dada alileta tamaa..
Angekubali kwenda sawa na hao watoto wake angefanikiwa
Ulivyo andika ni as if Jacky hana haki yoyote na anapaswa kuwanyenyekea wakina Regina ili aweze kupata haki zake

Kwa vyovyote vile Jacky ni mke halali wa marehemu anastahiki zote na mali za marehemu hadi pale mahakama itakapo fanya mgao kila mtu aendelee na maisha yake

Wanachofanya watoto wa marehemu ni ubabe dhidi ya mjane wa marehemu

Wangekaa naye tu chini wakayajenga akapewa kitengo ipp media maisha yangekuwa mepesi tu
Sema sasa watoto hawamkubali mama yao toka baba akiea hai
Amekufa imekua balaa

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Yes nyumba zina majina ya IPP kwa hiyo hawezi kuuza wala kuchukulia mkopo , na anakaa bure halipi kodi , familia Ya mzee Mengi ilimpa nyumba ya Machame , kinondoni na magari yote ya marehemu ndio hayo ameanza kuuza

Na pia nyumba zote mbili Machame na kinondoni ni kubwa sana maintenance ya zile nyumba ni lazima uwe tajiri kweli kweli Umeme, maji , wafanyakazi na vinginevyo zimeshaanza kumshinda

sasa bibie alilalamika hela Haitoshi Anayopewa ni ndogo haitoshi maintenance akaambiwa kwa Sababu upo wewe na watoto wawili nyumba kubwa sana kaa kwenye apartment akakataa anataka the same life style Kama mzee Mengi alivyokuepo of which hakuna mtu ataekubali kugharamia starehe zake

Umejuaje kuwa jacky ameshauza magari ya mzee mengi Mimi.
 
Katika Interview ya jacky & millard ayo, jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite, na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyuJacky mengi hata kuweka hela ya mafuta na service kwenye range yake au v8 yake anamtegemea Regina atume hela ya watoto kila mwez na yeye achukue hapo chake..ingawa Jacky ndo anawasema vibaya akina Regina mitandaoni na mdogo wa mengi Mr. Benjamin

Siku Regina na abdiel wakikata mirija ya pesa inayoenda kwa Jacky, bhasi baada ya miaka mitano itabidi Jacky aanze kupanda daladala..
Regina ni ex wa.Jacky
 
Back
Top Bottom