Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
Yeye akili ya biashara haya na pia watu wakumbuke biashara ni kipaji kama huna hicho kipaji hata upewe mabilioni yatakufa tu.. ingekua ni mimi nina akili kama hizo zake ninge invest tu kwenye property tu angekua na apartment zake kama 20 ligorofa limoja bs anakusanya kodi biashara haina upasua kichwa na ufatiliaji rahisi
She should have invested in buying brains Kama akili za kwake hazifanyi kazi angenunua wenye akili akawaajili wakamuendeshea biashara yeye anasimamia kwa mbali