kula ya ndio au hapana kwa katiba pendekezwa

RAISI MPYA

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
76
Reaction score
14
baada ya kupata katiba inayo pendekezwa,macho na mawazo ya watanzania wengi ni juu ya zoezi la upigaji kula juu ya katiba inayo pendekezwa.
yapo makundi mbalimbali ambayo yamejipanga kuhamasisha jamii kupiga kula ya ndio au hapana,swali ambalo kila mtu anapaswa kujiuliza ni kuwa nipige kula ya ndio au hapana

KULA YA NDIYO
wapo watanzania ambao kabla hata hawaja hamasishwa wamesha jipanga kula ya ndio,hii ina weza kuwa inamaanisha.yafuatayo.
1.wame kubali mambo yote ambayo yameandikwa katika katiba hiyo
2.wanaona bora ya katiba hii kulinganishwa na katiba ile ya mwaka 1977
3.walio shiliki kuandika katiba huyo wana wafahamu,ndugu au jamaa zao hivyo wanaona bora wakawaunga mono
4.vyama vya siasa wanavyo viabudu(hawa hata hawajiulizi maswali)wana ikubali katiba hiyo. n.k

KULA YA HAPANA
pia hawa ni wale ambao wamejiandaa kupinga katiba hiyo kwa sababu huwenda zikawa zina fanana na sababu nilizo ziolozesha hapo kwa kinyume chake.lakini sababu zingine tofauti ni kuwa katiba hii imeondowa mambo muimu yaliyo pendekezwa na tume ya jaji warioba(na hii ndio sababu kuu).
Napata wakati mgumu kufahamu kinachofikiliwa na watu wanao piga kula ya hapana kwa sababu baadhi ya maoni yalitolewa.

Kwa mtazamo wangu ni kuwa kula ya maoni itakayo pigwa izingatie ubora Wa katiba ya zamani na ile inayo pendekezwa maana tukumbuke kuwa tunapoikataa katiba hii ina maanisha tunaikubali katiba ya zamani.hivyo tunaweza kuisi tuna mkomoa mtu au kikundi cha watu kumbe mwisho wa siku hata sisi tuta athirika.
NAWASILISHA
 
so kama wananchi waliotoa maoni yao wakisema kwamba baadhi ya yale tuliyotaka hayamo na wakapiga kura ya hapana unadhani watakuwa wanajikomoa?
 
Kwenye katiba ya 1977 huyo mawazo yao yapo.kama hayapo work done is equal to zero.so wanapaswa kuangalia mambo engine yenye faida kwao
 
Hilo neno"KULA" kwenye andiko lako haliko sahihi kama unaongela chakula hapo sawa ila kama ni rasimu hii ya ccm wao wanashawishi wapigiwe "KURA" ya ndiyo kama Kula washakula pesa nyingi sana ila KURA za hapana watakutana nazo huku mtaani
 
Kupiga kura ya Hapana ni haki yao kikatiba na si kukubari katiba ya zamani. Kipimo si ya zamani na hio inayopendekezwa. Suala hapa ni je katiba pendekezwa inakidhi na iatatupeleka muaka zaidi ya hamsini ijayo?
 
We ndio unaona kukomoa lakini sisi wengine tunadai iondoe mkanganyiko ktk mambo ya muungano yaondolewe kwakuweka manbo yasiyo ya muungano yanasimamiwa na nani.
 
baada ya kupata katiba inayo pendekezwa,macho na mawazo ya watanzania wengi ni juu ya zoezi la upigaji kula juu ya katiba inayo pendekezwa.
yapo makundi mbalimbali ambayo yamejipanga kuhamasisha jamii kupiga kula ya ndio au hapana,swali ambalo kila mtu anapaswa kujiuliza ni kuwa nipige kula ya ndio au hapana

KULA YA NDIYO
wapo watanzania ambao kabla hata hawaja hamasishwa wamesha jipanga kula ya ndio,hii ina weza kuwa inamaanisha.yafuatayo.
1.wame kubali mambo yote ambayo yameandikwa katika katiba hiyo
2.wanaona bora ya katiba hii kulinganishwa na katiba ile ya mwaka 1977
3.walio shiliki kuandika katiba huyo wana wafahamu,ndugu au jamaa zao hivyo wanaona bora wakawaunga mono
4.vyama vya siasa wanavyo viabudu(hawa hata hawajiulizi maswali)wana ikubali katiba hiyo. n.k

KULA YA HAPANA
pia hawa ni wale ambao wamejiandaa kupinga katiba hiyo kwa sababu huwenda zikawa zina fanana na sababu nilizo ziolozesha hapo kwa kinyume chake.lakini sababu zingine tofauti ni kuwa katiba hii imeondowa mambo muimu yaliyo pendekezwa na tume ya jaji warioba(na hii ndio sababu kuu).
Napata wakati mgumu kufahamu kinachofikiliwa na watu wanao piga kula ya hapana kwa sababu baadhi ya maoni yalitolewa.

Kwa mtazamo wangu ni kuwa kula ya maoni itakayo pigwa izingatie ubora Wa katiba ya zamani na ile inayo pendekezwa maana tukumbuke kuwa tunapoikataa katiba hii ina maanisha tunaikubali katiba ya zamani.hivyo tunaweza kuisi tuna mkomoa mtu au kikundi cha watu kumbe mwisho wa siku hata sisi tuta athirika.
NAWASILISHA

kula ya ugaliii na ndondooo auuu???
 
Kwenye katiba ya 1977 huyo mawazo yao yapo.kama hayapo work done is equal to zero.so wanapaswa kuangalia mambo engine yenye faida kwao

ya muhimu hayapo na ndio yamenyofolewa sasa nipige kura ya ndio HOW??
 
kula ya ugaliii na ndondooo auuu???
Endelea kula pesa ya Ukawa si umeajiriwa kwa kazi hiyo ya kuipinga katiba hata kama ina mazuri ndani yake, kelele zako hazina maana na wala hazina effect yoyote humu
 
endelea kula pesa ya ukawa si umeajiriwa kwa kazi hiyo ya kuipinga katiba hata kama ina mazuri ndani yake, kelele zako hazina maana na wala hazina effect yoyote humu

na wasiwasi na afya ya ubongo wako
 
Mpuuzi wewe huna lolote, yataje hayo yaliyonyofolewa au unafata msafara wa mamba kwasbu we ni kenge?

huyo mumeo mwenyewe ukimuuliza hayo atajifanya hayajui wakati yy ndie kibaraka mshiriki alishiriki kunyofoa na kuwatuma nyie vidampa mpigie debe eti katiba poa... poa wapi wakati hata msalani haifai kutumika. mbavvvv... zenyuuu
 
Kura itapigwa shekhe endelea kulala hiyo ya babu yenu haionekani hata huko msalani kwishaaaa!
 
Back
Top Bottom