RAISI MPYA
Member
- Jan 30, 2014
- 76
- 14
baada ya kupata katiba inayo pendekezwa,macho na mawazo ya watanzania wengi ni juu ya zoezi la upigaji kula juu ya katiba inayo pendekezwa.
yapo makundi mbalimbali ambayo yamejipanga kuhamasisha jamii kupiga kula ya ndio au hapana,swali ambalo kila mtu anapaswa kujiuliza ni kuwa nipige kula ya ndio au hapana
KULA YA NDIYO
wapo watanzania ambao kabla hata hawaja hamasishwa wamesha jipanga kula ya ndio,hii ina weza kuwa inamaanisha.yafuatayo.
1.wame kubali mambo yote ambayo yameandikwa katika katiba hiyo
2.wanaona bora ya katiba hii kulinganishwa na katiba ile ya mwaka 1977
3.walio shiliki kuandika katiba huyo wana wafahamu,ndugu au jamaa zao hivyo wanaona bora wakawaunga mono
4.vyama vya siasa wanavyo viabudu(hawa hata hawajiulizi maswali)wana ikubali katiba hiyo. n.k
KULA YA HAPANA
pia hawa ni wale ambao wamejiandaa kupinga katiba hiyo kwa sababu huwenda zikawa zina fanana na sababu nilizo ziolozesha hapo kwa kinyume chake.lakini sababu zingine tofauti ni kuwa katiba hii imeondowa mambo muimu yaliyo pendekezwa na tume ya jaji warioba(na hii ndio sababu kuu).
Napata wakati mgumu kufahamu kinachofikiliwa na watu wanao piga kula ya hapana kwa sababu baadhi ya maoni yalitolewa.
Kwa mtazamo wangu ni kuwa kula ya maoni itakayo pigwa izingatie ubora Wa katiba ya zamani na ile inayo pendekezwa maana tukumbuke kuwa tunapoikataa katiba hii ina maanisha tunaikubali katiba ya zamani.hivyo tunaweza kuisi tuna mkomoa mtu au kikundi cha watu kumbe mwisho wa siku hata sisi tuta athirika.
NAWASILISHA