Nchini Japan kulala ofisini kwa saa kadhaa baada ya kupiga kazi bado kumeendelea kutokuwa ni kosa la kufukuzwa kazi au Boss kuchukizwa.
Mfanyakazi anayelala ofisini kwa muda mfupi kidogo huonekana kuwa ni Mfanyakazi hodari na alama ya ushindi kwa Boss kwamba amefanya kazi sana na anatambua umuhimu wa kupumzika kidogo ili kupata nguvu mpya ya kuendelea kulipambania kombe.
Unaonaje na hii sheria iletwe nchini Tanzania