Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
Vituko kweli
Kumbe shem na wewe unasuka dred
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vituko kweli
Ndiyo shemKumbe shem na wewe unasuka dred
Mwanzoo mkizoeana shidaNishamaliza hapo unaona hii mvua sasaivi saa nane walio lala miguu minne ndio wanafaidi mmoja ana msogelea mwezie ndoa tamu
Ndiyo shem
Hii challenge imenishinda kiukweli nilikaa miezi takribani 5 ila juzi hapo nikavurugaKaribu kwenye no Fap
Zime mpendeza sana, mi napenda sana mwanamke awe natural kama hivi.Kumbe shem na wewe unasuka dred
Sana af ana kamacho fulani so amezingZime mpendeza sana, mi napenda sana mwanamke awe natural kama hivi.
Wanavutia sana.
😂mwambie asuke pia shemDah noma sana shem kaka mkubwa anaupiga mwingi huwa navutiwa nao
Ataki hila kuna kamsuko kake anako kasuka huwa nakapenda nako😂mwambie asuke pia shem
Blaza hesabu mpaka kwenye magoli ya kamasi.Salutebado hujakua kiakili, tufanye unasex mara nne kwa wiki na kila ukisex unatumia maximum masaa manne, utakuwa umetumia masaa 16 kwa wiki kusex, hujamaliza hata siku moja kimahesabu, sasa masaa 16 mara 4 utapata masaa 64 unayotumia kwa mwezi mzima ambayo kimakadirio tufanye ni siku 3 tu za mwezi mzima, ukizidisha mara 12 unapata siku 36 unazotumia kusex kwa mwaka mzima, assume umeishi na mkeo kwa miaka 30, utapata kimahesabu siku 1080 unazotumia kusex na mkeo kwa miaka 30, hiyo miaka mingine yote unafikiri mtakuwa mnafanya nn ikiwa unafikiria ndoa ni ngono tu, change
😂yeah kumbe tumekomaa na ma30s hukooAtaki hila kuna kamsuko kake anako kasuka huwa nakapenda nako
Huna mfanya sura ionekane ndogo af mbich
Sio sana shem ila mwanamke akisuka anakuwa mrembo sana kuliko kawaida😂yeah kumbe tumekomaa na ma30s hukoo
Kunyoa ndo inapendeza zaidi mbonaSio sana shem ila mwanamke akisuka anakuwa mrembo sana kuliko kawaida
Ndoa changa zina mbwembwe zake,tumia snaa nafasi hii kabla shetani hajaingilia katiNishamaliza hapo unaona hii mvua sasaivi saa nane walio lala miguu minne ndio wanafaidi mmoja ana msogelea mwezie ndoa tamu
Achaneni na vijana wa ovyo wasio taka ndoa hao ndio wale wanaotak kuzibuana mitaro tu baada ya kwenda kuoa uko
Sasa mimi ninyoe na yeye anyoe kweli hapana siwez mim huwa navutiwa na women ako anasuka then msafi anajipenda asubili mimi nimpendezesheKunyoa ndo inapendeza zaidi mbona
We ndoa yako ina umri gani [emoji4][emoji4]Laki tuongee ukweli kuna ka raha ukioa jaman tusiwe wanafiki [emoji23]
Af boss tumeonana muda sana hapa jf leo nimekuona ningekualika kwenye shereheNdoa changa zina mbwembwe zake,tumia snaa nafasi hii kabla shetani hajaingilia kati
😳umempendezeshe wewe? Au unamzungumzia uncle wakoSasa mimi ninyoe na yeye anyoe kweli hapana siwez mim huwa navutiwa na women ako anasuka then msafi anajipenda asubili mimi nimpendezeshe
Nina ka mwezi wa pili uhuWe ndoa yako ina umri gani [emoji4][emoji4]