Kulala miguu minne raha sana (ndoa tamu sana)

Kulala miguu minne raha sana (ndoa tamu sana)

Kufanya sex ni kama kula tu, japo chips kuku ni tamu ila ukipikiwa siku 30 tu za mwezi mmoja mwanzoni utakuwa unazila sana ila itafikia siku kadhaa ile hamu inaisha automatically unadokoa 2/3 unaacha.
Mbona unanitisha te a
 
hakuna sehemu nimeandika sex ni hiari, nimeanisha makadirio ya muda utakayotumia kusex na mwenzi wako, kiuhalisia ni mdogo sana ukilinganisha na muda mtakaofanya mambo mengine, hivi ujasikia mtu anaambiwa yule kaolea nyege tu, unadhani ni kwanini inasemwa hivyo
hapo sasa unakuja kwenye sawala la hitaji la mtu mmoja mmoja kila mtu ana hitaji lake katika maisha ,tukubali kuwa hitaji na vipaumbele ni vya mtu binafsi,

Wakati unafanya zile hesabu nikaona usiangalie faida za kisayansi tu ila pia sex ni need
 
bado hujakua kiakili, tufanye unasex mara nne kwa wiki na kila ukisex unatumia maximum masaa manne, utakuwa umetumia masaa 16 kwa wiki kusex, Hujamaliza hata siku moja kimahesabu, sasa masaa 16 mara 4 utapata masaa 64 unayotumia kwa mwezi mzima ambayo kimakadirio tufanye ni siku 3 tu za mwezi mzima,

ukizidisha mara 12 unapata siku 36 unazotumia kusex kwa mwaka mzima, assume umeishi na mkeo kwa miaka 30, utapata kimahesabu siku 1080 unazotumia kusex na mkeo kwa miaka 30.

Hiyo miaka mingine yote unafikiri mtakuwa mnafanya nn ikiwa unafikiria ndoa ni ngono tu, change
Umetoa namba Tu
 
Ndoa tamu ukiwa na Kazi ya kujipatia kipato,

Bila kuwa na kazi,
ndoa raha yake ni usiku tu,

Ikifika asubuhi jasho litakutoka.
 
Back
Top Bottom